Agizo la Rais: Watumishi wa Muhimbili waanza kuhamia Wizara ya Afya kupisha wagonjwa wanaolala chini

Hivi unadhani unawazidi akili hao walioamua kuweka hiyo ofisi hapo ma siyo sehemu nyingine?unafahamu kazi za hiyo ofisi?majukumu yao ya kila siku?

Siyo kosa kuwepo kwa hiyo ofisi, subiri na hiyo wodi itajaa tena, wataamisha ofisi nyingine zilizopo?

Suluhisho ni kujenga wodi kubwa za wazazi zenye miundo mbinu thabiti na timilifu siyo kuhamisha ofisi halafu wagonjwa waanze kufunga safari za wizara ya afya tena

Anyway kasema boss, inapaswa kutekelezwa
Unaelewa mantiki ya maneno yako?

Kwa hiyo wewe unafahamu kazi za hiyo ofisi zaidi ya Rais?

Nani amekuambia kama wodi nyingine kubwa hazitajengwa?

Sishangai sana kusoma andiko lako kwa sababu siku hizi hata wajinga wamekuwa watoa ushauri!
 
Kwani raisi ni Mungu?hakosei?hao walioiweka hiyo ofisi hapo ni wajinga?

Unajua hao waliyoiweka hiyo ofisi hapo walikua wanafanya nini?kwanini waiweke hapo?

Unajua athari zitakazojitokeza kwa hiyo ofisi kutokuwepo hapo?

Serikali itekeleze jukumu lake siyo kwa kufukia fukia namna hii
 
Hivi zilikuwa desgned kuwa wodi au ofisi, na jambo hilo ni la muda mfupi kiasi gani,pasije pakajaa halafu wakahamishiwa ktk nyumba za watumishi
 
Hivi unadhani unawazidi akili hao walioamua kuweka hiyo ofisi hapo ma siyo sehemu nyingine?unafahamu kazi za hiyo ofisi?majukumu yao ya kila siku?

Siyo kosa kuwepo kwa hiyo ofisi, subiri na hiyo wodi itajaa tena, wataamisha ofisi nyingine zilizopo?

Suluhisho ni kujenga wodi kubwa za wazazi zenye miundo mbinu thabiti na timilifu siyo kuhamisha ofisi halafu wagonjwa waanze kufunga safari za wizara ya afya tena

Anyway kasema boss, inapaswa kutekelezwa
Mimi nafikiri suluhisho ni kupanua wodi na vifaa tiba kwa hospitali za wilaya ( Kinondoni, Ilala n.k) kwani wagonjwa wengi wanatokea mawilayani kwenda hapo Muhimbili. Muhimbili ni hospitali ya Taifa ambayo inahudumia wagonjwa wa mikoa yote TZ, hivyo haikupaswa kuwa na wagonjwa wengi wanaojifungua pale kutoka Mkoa wa Dar au Pwani.
 
Hapa umenena vyema mkuu, waboreshe na hospitali za wilaya pia
 
Kikwete Matajiri ndio waliokuwa wanamwelilewa, Magufuli wanyonge ndio kimbilio lao
 
Unafiki tuu hâta vitanda mlikuja na ma picha kibao leo watu wanalala watano haya na hii movie ngoja tuone mwisho wake
Ww acha fikra finyu ambazo hazina tija wacha Rais WA watu maskini awatumikie ,go Magifuli Go
 
Mkuu masahihisho kidogo, ni kwamba hizo ofisi walikuwa wanazitumia watu wa Wizara ya Afya sasa ameagiza jengo lilejeshwe chini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili walau kupunguza tatizo.

Sasa mi nimejiuliza hao maafisa wa Wizara 'pepa work zao' hawajaona mahala pengine ndo waende maeneo kama hayo ya hospitali kubana nafasi ilhali nafasi kwa wagonjwa ni haba wana uzalendo kweli?

Aah Rais wetu endelea kunyoosha nchi, akili zitawarudi tu....!

Naona kama ni vizuri kujiridhisha kama kweli hayo majengo yanafaa kutumiwa na wagonjwa! Isijekuwa ni nyumba ambayo kwa kuweka wagonjwa mwisho wa siku tukaishia kupata milipuko ya magonjwa mengine. Je,ni kweli kuwa kama wagonjwa wengi wanakufa katika hospitali dawa yake ni kupanua mortuary au kuzuia wasife? Anyway, siasa ina mambo
 
View attachment 323207
View attachment 323208

Agizo la Rais Magufuli kuwataka watumishi wa Muhimbili kuhama ofisi ndani ya siku mbili ili kuwaachia majengo wagonjwa waliokosa nafasi hospitalini hapo laanza kutekelezwa.

Rais alitoa agizo hilo alipoenda kumjulia hali Mufti mkuu wa Waislamu Tanzania, sheikh Abubakari Zuberi aliyelazwa hospitalini hapo na kukuta mazingira ya wagonjwa wa wodi ya wazazi yakiwa hayaridhishi, ambapo alikutana na malalamiko ya wakina mama waliomfuata na kumueleza kuwa wamekuwa wakilazwa hadi watano kitanda kimoja huku mazingira yakiwa machafu kutokana na maji kuchuruzika kutoka maliwatoni.

Ofisi hizo zilizokuwa zikitumika na watumishi wa wizara ya afya sasa imeagizwa zirejeshwe chini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili walau kupunguza tatizo.

Habari na iwafikie..

go magufuli, please go................................................................
 
Iko siku mtu ataambiwa kula kinyesi chako, na atavua nguo na kunya kisha kula kinyesi chake bila kufikiri mara mbili kwa hii nidhamu ya uoga inayopandikizwa
Hilo jengo ni la MNH na siyo la Wizara ndiyo maana wanaondoka ili wakakae kwenye jengo ili MNH ipate nafasi zaidi ya kulaza wagonjwa.
 
Back
Top Bottom