Aghakan abandons Zanzibar

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Tue, Apr 3rd, 2012




Tanzania | Wed, April 4th 2012


Ali-Juma-Shamuhuna.jpg


The Isles Minister for Water, Energy, Lands, Construction and Human Settlements Mr Ali Juma Shamuhuna

The Agakhan Foundation has stopped its support for projects in Zanzibar, The Isles Minister for Water, Energy, Lands, Construction and Human Settlements Mr Ali Juma Shamuhuna informed the House on Monday.



"The Agakhan has withdrawn their support for almost all government projects including the Forodhani area sea-front development," Mr Shamuhuna said, when answering questions from legislators Hamza Hassan Juma (CCM- Kwamtipura), Mbarouk Wadi Mussa (CCM- Mkwajuni), and Hija Hassan Hija (CUF- Kiwani).


When Mr Hija asked the minister to explain the reasons for Agakhan Foundation's withdrawal, the minister replied, "I do not know, actually they have not given us any reasons as to why they are withdrawing from supporting our projects." One of the major projects supported by The Aghakan is face-lifting of Forodhani Front, which is a public centre in the
Stone Town.


The Foundation was also planning to construct a sea barrier at the area to prevent sea erosion threatening the nearby buildings and the road near the seaside. It was also planning to support establishment of a museum for maritime for East Africa in
Zanzibar. The old orphanage centre building, which is currently a tourist restaurant, had been proposed to house the museum.


The withdrawal could be linked to
Zanzibar Government's refusal to rent Mambo Msiige's historical building in Stone Town to The Aghakan, who wanted to develop the famous building. The government also revoked Aghakan's ownership of 50 hectares of land. The authorities accused the Foundation of failing to develop the land for more than 25 years. "Mambo Msiige" building was instead leased to the Kempiski Company, one the Agakhan's competitors in Tanzania.


By ISSA YUSSUF,
Tanzania Daily News


 
mwarabu mali kwa Mzanzibari kuliko Mpakistan! huu ufukunyunyu wa Wazanzibari unakosa maarifa!
 
Too, Damn strictly rules to Invest in Z'Bar even to Agha Khan? well are you trying to make it freeport as DUBAI?

You must ease them rules if there will be any survival... Kimpinski ni Mwarabu lakini kakimbia Zanzibar na Bara; Anapenda USA, EUROPE
 
zanzibar kama kweli wamempiga chini aga khan watakuja kujuta

mwarabu hana akili ya kufanya aliyoyafanya aga khan kule
 
Niwaulize, mnajua kinachoendelea au mwabawabwaja tu? Na kusema kuwa mwarabu bora kwa mzanzibari kuliko mpakistan ni ujinga wako! Niwaulize mwarabu amefanya nini zanzibar? Ame invest katika nini uyo mwarabu? Kempinski mmiliki si mwarabu! Na kwa taarifa yenu yupo mhindi anaitwa Muzammil anamiliki pande la ardhi, na ana majengo tele na hakunyimwa alitakalo! Acheni chuki zenu za kipuuzi, mwarabu aneekeza katika nini zanzibar?! FREEPORT inakuja tu, kuna project nyingi zinaendelea visiwani wapuuzi hamtozijua, barabara ya two way kujengwa kutoka malindi mpaka mkokotoni, bandari mpya kujengwa maruhubi kwa mpiga duri, mkokotoni pia bandari yataka kujengwa, tunakamilisha terminal 2 Airport!
Pengine hawajakubaliana terms ndo mana hakupewa ilo jengo na kupokonywa ardhi! Hatudhaliliki kwa pesa za misaada! Heshima na ustaarabu kwetu ni bora zaidi kuliko pesa! Tofauti na nyinyi!
 
There is no loss for ZANZIBAR. Wapo wengi wanaoisaidia Zanzibar si lazima yeye!
 
Zanzibar ni mzigo kila mtu ataitupia virago hata bara karibuni tutai-dump Zanzibar ili waparurane macho wenyewe kwa siasa za kibaguzi. Hawana shukrani hao watu. Kazi kula kashata tu na kucheza bao hawana lolote ndio maana Agha Khan kawatupia virago.
 
Mbona habari inajieleza vema kwanini aghakan ameondolewa..

Lakini wachangiaji wanaonyesha chuki kwa zanzibar; duh

Serikali ya zanzibar imefanya uamuzi mzuri sana...
 
Zanzibar ni mzigo kila mtu ataitupia virago hata bara karibuni tutai-dump Zanzibar ili waparurane macho wenyewe kwa siasa za kibaguzi. Hawana shukrani hao watu. Kazi kula kashata tu na kucheza bao hawana lolote ndio maana Agha Khan kawatupia virago.
Kwa akili kama hizi sina shaka wewe ni miongoni mwa matunda ya pale wanja wa fisi!
 
Wachangiaji karibu wote wanabase urguement yao yenye upande mmoja ambao unataka kuabudiwa. Agakhan sio multinational corp bali ni taasisi ya imani. Inataka kuiburuza Zanzibar kwa ahadi zenye mvuto lakini malengo yake ni tofauti na mnavyofikiria. Nipo kwenye tafiti baada ya kusikia wafanyaka takriban 17 waliacha kazi kwa mkupuo (anglizo: hawakufukuzwa) hapa Dar kwenye Agakhan Foundation. Hawa watu ni wabaguzi kinoma noma, hasa hao wanaoitwa "administrators" kutoka kwao. Nitawajuza.
 
Mbona habari inajieleza vema kwanini aghakan ameondolewa..

Lakini wachangiaji wanaonyesha chuki kwa zanzibar; duh

Serikali ya zanzibar imefanya uamuzi mzuri sana...
Iwapo Jengo la Mambo Msige liteendelezwa kinyume na standards za STDCA, basi SMZ watakuwa wamechemsha sana, na kuiondoa Zanzibar katika Heritage Sites.
 
Kinyungu ama kinyungunyungu? Zanzibar saivi hakuna siasa za ubaguzi, sasa ivi kuna uzanzibari! Ndio tunakula kashata na kahwa lakini ndo tulokujengeeni k.koo na ajira tukawapa, na ustaarabu tukawafundisha! Visiwani hakuna ubaguzi. Kwaiyo ata mkiitupa tanganyika kwetu naona mtaparurana nyinyi! Makabila 120, vita vya Uganda vitakua na afadhali! Kinyungunyungu, kuweni wastaarabu kwanza!
 
Kinyungu ama kinyungunyungu? Zanzibar saivi hakuna siasa za ubaguzi, sasa ivi kuna uzanzibari! Ndio tunakula kashata na kahwa lakini ndo tulokujengeeni k.koo na ajira tukawapa, na ustaarabu tukawafundisha! Visiwani hakuna ubaguzi. Kwaiyo ata mkiitupa tanganyika kwetu naona mtaparurana nyinyi! Makabila 120, vita vya Uganda vitakua na afadhali! Kinyungunyungu, kuweni wastaarabu kwanza!


Hata kule marekani waafrica ndiyo walijenga White House kaeni na upumbavu wenu vilaza nyie!
 
Kwa akili kama hizi sina shaka wewe ni miongoni mwa matunda ya pale wanja wa fisi!


Ni kweli hizi ni akili za uwanja wa fisi wala siyo za mchamba wima ndio maana mkapa aliwapa kichapo wapumbaf nyie. Watu wavivu mmekuwa kama kupe tu haman faida yoyote. Kila siku mnaonewa mnaonewa jitenegeni mkajiunge na bwana wenu mwingine Oman. Tushawachoka
 
Kinyungu unaonesha kama akili zako ni sifuri, hao wafrika walikua cobtractors au slaves? Hebu jaribu kutofautisha kati ya wafrika slaves na businessman! K.koo hapo wazenji wanamiliki mijengo hiyo, na ajira wakakupeni wapuuzi msiokuwa na shukrani wenye choyo. Na usafi mkafundishwa na jinsi ya kujenga pia mkafundishwa. Ikitoka nje ya town ukija mitaa ya kawaida ndo utajua kama watu hawana ustaarabu, taarab inapigwa mtaani usuki mpaka alfajiri tena fujo, hawajui hata kama wanakera wenzao, kisha wanaishia kulala kwenye vibaraza vya nyumba za watu, USTAARABU UKO WAPI? lakini msijali, tupo kuwafundisha ustaarabu na heshima. WALEVI nyinyi!
 
Halafu kinyungu Oman inakuumiza roho maskini! Sisi tunaweza tukaungana na mataifa mingi na yakatusaidia. Nyie mnataka kuungana na nani? Oman atataka kuungana na watu walevi wasio na heshima wala ustaarabu? Atataka kuungana na taifa lenye makabila 120 ambayo anytime wanaweza kuparurana? Aungane na watu wathamini pesa kuliko utu? Na lazima iwaume mkisikia zanzibar finally tunaungana na mabwana zetu, mana nyinyi mabasha zenu hawana wanalokusaidieni WIZI nyinyi, migodi imewashinda, shirika la ndege nalo limewashinda, sisi pamoja na uvivu wetu, hiyo bandari yenu dar ukisona historia ilijengwa na wazenji!
 
Back
Top Bottom