Agenda 21 waanza kukutwa na vizuizi...

Kitila Mkumbo
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Lakini pia naomba niruhusu kutofautiana na wewe. Ukumbuke kuwa Lowassa ni bidhaa ambayo haiuziki hana heba yoyote, sidhani kama kuna mtu mwenye busara zake (bila kuwa na force nyingine yoyote behind kama mshiko) anaweza kumchagua Lowassa. Katika wakati wote akiwa madarakani anatumia ofisi kujineemesha kuliko kushughulikia maslahi ya umma, siku yoyote akiwa madarakani atafanya hivyo. Lakini huwa anahitaji kitu kingine mbali na heba na ushawishi, kufanikiwa kuingia kwenye ofisi alizoingia. Anajua kabisa kuwa hana heba ya kuwa Rais, lakini alijua kabisa akitumia heba ya JK anaweza kwenda popote na kufika sehemu yoyote anayotaka, kitu ambacho amefanikiwa kiasi. Lakini bahati mbaya baada ya kuingia kwenye u-PM alidhani ndio amefika point of No-return kuelekea kwenye urais.
Mimi ukiniambia nichague yupi kati ya JK na EL, for sure i will go for JK. EL anaona kabisa kuwa Watz ni mbumbumbu na hatuwezi kumfaya kitu, he can take and take whatever he wants and no one would dare to deal with him.
Kama JK angetumia busara toka mwanzo, yaani angemteua waziri Mkuu mwenye hadhi na ofisi ya U-PM, ujinga huu tunaolia nao sasa usingekuwepo. So by any standards JK better than EL!!!
 
Need I say more?Does it ring in one's mind that a member who just joined (juzi to be specific) would be critical of almost everything that many here seem to agree with,and also pick a fight with MKJJ from nowhere?Huyu hana chuki na MKJJ pekee bali the whole existence of JF.Kuna wale waliodhani mafisadi wameidhibiti JF,and they have not given up sending their messengers here.

Nadhani kimewauma kuuliza swali very simple na mnaanza kutoa shutuma zisizokuwepo, poeni moto, JF si ya kwa watu fulani tuu, usinibabaishe kwa kuwa sijui nimeingia juzi, kuingia JF si lazima uchangie. Hakuna kutishana hapa. Toa hoja ujibiwe kwa hoja majungu na chuki zenu ndizo zinazowarudisha nyuma mpaka kauchaguzi ka kiteto mmekakosa. Wapi nilipo pick a fight with mwanakijiji? show me please.

Kama JF inategemewa ni kuwa ya watu aina fulani tu, si liwekwe wazi hilo, sisi tunajua hapa kuna watu wa itikadi tofauti na kila mmoja na mtazamo wake, jee kinacho wauma ni nini?
 
Polepole na sisi tunaingia kwenye mtego wa kugawanywa ama kwa kujua au kutokujua. Katika mtego huu tunasahau kabisa kwamba Kikwete was made by Lowasa and in turn Kikwete made Lowasa (rejea makala ya Ngurumo ya Jumapili-that was a classic piece in this regard). Pamoja na yote, ukweli ni kwamba Lowasa is politically more intelligent, sane and smart than JK. Binafsi ungeniuliza who is a lesser devil, I would say Lowasa, simply because I hate dull politicians who cannot make big decisions when due. Siwezi kumsifia mtu anayefukuza watu kazi baada ya kujiuzulu au askari anayepiga maiti risasi!

Katika sakata hili, itafaa kujua kipenzi chetu Salim yuko upande gani. Na zaidi ya yote wapi wapo akina Mwandosya na mashine kubwa mzee Malecela. I can bet Mwandosya na Salim hawatakuwa upande wa JK kwa jinsi yale waliyoyafanyia kwenye kampeni za 2005.

Kitila juzi wakati nasema juu ya Lowas and his come back attempt kwa nguvu zaidi I was sure of what I was reporting to you guys .JK made a terrible mistake when he went public akingea na wazee na kuanza kumwaga sifa za Lowasa.Hapa ndipo nashindwa kujua kama alikuwa sincere na kama hii habari yote the guy yuko serious ama ni kweli wanataka kutugawa sisi hapa .Madai hapa ni kutokuelewa na watu kulipa visasi na jamaa kurudi kwenye uwanja wa siasa.Lakini JK pia alimwaga sifa na hata kusema si yeye aiyemuondoa Lowasa bali ni wana CCM wenzake.JK hapa JK bado anahitaji kupewa hongera kwamba alikubali Lowasa aondoke ?
 
Kinachotokea sasa hivi ni kujulikana kwa mtandao huu mpya ambao una lengo moja kubwa ambalo wengine tulishalisema hapa miezi kadhaa iliyopita - Kumfanya Mhe. Kikwete kuwa Rais wa kwanza kutawala baada ya mhula mmoja. Lengo la hawa jamaa ni kurudi kwa nguvu 2010 na hawana mpango wa kusubiri 2015.

Mzee wa kijijini udumu milele!
Kwa kweli hili kundi ni hatari na tishio kwa mustakabali wa amani ya Taifa letu kama halitavunjwa pembe zake mapema laweza kutia doa Taifa letu,maana Wananchi hatutakubali kuburuzwa na viongozi wahuni.
Nilisikitishwa kuona hata Viongozi wa dini(Bishop wa KKKT KANDA YA ARUSHA) siku ile yupo kwenye mapokezi ya kisiasa ya EL kule Monduli na si hivyo tu,akamtabiria na mema kuwa nyota yake bado inang'aa!.AISEEEE!Hapa kweli viongozi wa kidini watakuwa na meno ya ya kukemea rushwa na ufisadi??au aliomwonea huruma kwa kuwa ni Mmasai mwenziwe.
Ndugu zetu Wamasai wenye vyeo vya juu serikalini chukueni tahadhari msichafuke hata kama mliwekwa na EL.
LAKUVUNDA HALINA UBANI
Sikumwelewa huyu mtumishi wa Mungu kuwa alimaanisha nyota ya EL inang'aa ktk wizi wa kuibia Taifa hili maskini au ktk kupora vitalu vingi vya uwindaji???God forbid.

Wananchi tuko macho hatutaki harufu inayonuka ki lowasa lowasa ktk nchi hii,Tumechoka,na ndo maana hata ukiuliza mtaani leo kibaka yeyote akikamatwa nick name yake ni lowasa.Maana katufilisi siku nyingi na mwisho wake ulishafika,hatuna haja naye tena.RIP LOWASA!

Kitila Mkumbo
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Lakini pia naomba niruhusu kutofautiana na wewe. Ukumbuke kuwa Lowassa ni bidhaa ambayo haiuziki hana heba yoyote, sidhani kama kuna mtu mwenye busara zake (bila kuwa na force nyingine yoyote behind kama mshiko) anaweza kumchagua Lowassa. Katika wakati wote akiwa madarakani anatumia ofisi kujineemesha kuliko kushughulikia maslahi ya umma, siku yoyote akiwa madarakani atafanya hivyo. Lakini huwa anahitaji kitu kingine mbali na heba na ushawishi, kufanikiwa kuingia kwenye ofisi alizoingia. Anajua kabisa kuwa hana heba ya kuwa Rais, lakini alijua kabisa akitumia heba ya JK anaweza kwenda popote na kufika sehemu yoyote anayotaka, kitu ambacho amefanikiwa kiasi. Lakini bahati mbaya baada ya kuingia kwenye u-PM alidhani ndio amefika point of No-return kuelekea kwenye urais.
Mimi ukiniambia nichague yupi kati ya JK na EL, for sure i will go for JK. EL anaona kabisa kuwa Watz ni mbumbumbu na hatuwezi kumfaya kitu, he can take and take whatever he wants and no one would dare to deal with him.
Kama JK angetumia busara toka mwanzo, yaani angemteua waziri Mkuu mwenye hadhi na ofisi ya U-PM, ujinga huu tunaolia nao sasa usingekuwepo. So by any standards JK better than EL!!!
 
Kinachotokea sasa hivi ni kujulikana kwa mtandao huu mpya ambao una lengo moja kubwa ambalo wengine tulishalisema hapa miezi kadhaa iliyopita - Kumfanya Mhe. Kikwete kuwa Rais wa kwanza kutawala baada ya mhula mmoja. Lengo la hawa jamaa ni kurudi kwa nguvu 2010 na hawana mpango wa kusubiri 2015.

Mzee wa kijijini udumu milele!
Kwa kweli hili kundi ni hatari na tishio kwa mustakabali wa amani ya Taifa letu kama halitavunjwa pembe zake mapema laweza kutia doa Taifa letu,maana Wananchi hatutakubali kuburuzwa na viongozi wahuni.
Nilisikitishwa kuona hata Viongozi wa dini(Bishop wa KKKT KANDA YA ARUSHA) siku ile yupo kwenye mapokezi ya kisiasa ya EL kule Monduli na si hivyo tu,akamtabiria na mema kuwa nyota yake bado inang'aa!.AISEEEE!Hapa kweli viongozi wa kidini watakuwa na meno ya ya kukemea rushwa na ufisadi??au aliomwonea huruma kwa kuwa ni Mmasai mwenziwe.
Ndugu zetu Wamasai wenye vyeo vya juu serikalini chukueni tahadhari msichafuke hata kama mliwekwa na EL.
LAKUVUNDA HALINA UBANI
Sikumwelewa huyu mtumishi wa Mungu kuwa alimaanisha nyota ya EL inang'aa ktk wizi wa kuibia Taifa hili maskini au ktk kupora vitalu vingi vya uwindaji???God forbid.

Wananchi tuko macho hatutaki harufu inayonuka ki lowasa lowasa ktk nchi hii,Tumechoka,na ndo maana hata ukiuliza mtaani leo kibaka yeyote akikamatwa nick name yake ni lowasa.Maana katufilisi siku nyingi na mwisho wake ulishafika,hatuna haja naye tena.RIP LOWASA!

Kama kuna Agenda 21 lazima itakuwa na viongozi .JF is where we dare to speak openly and we mention them .Kulisaidia Taifa kama unamjua mtu wa kutoka agenda 21 tusaidie jina lake ili amulikwe .CCM waumane na kuumizana lakini Nchi watuachie na maisha yetu ya shida wamesha iba sana sasa wasituletee balaa zaidi .
 
Ndugu Dar nitakusamehe kama kweli unaweza kusema mimi Lunyungu sijibu hoja basi kuna jambo lako .Umekuwa ukimwandama sana MKJJ kwa naneno ya kejeli kwa siu ya pili sasa .Hata humpendi nakushauri jenga hoja pingana naye .Nadhani unakuja na kasi na hapa ni JF waliondoka wengi wa kasi ya aina na zaidi yako .Sisi tupo tu hapa.Leo Lunyungu hajibu hoja ?

Haya rudi kwenye mada .Bandiko hili ni zito na linahitaji uyulivu ili ulichambue .Onyesha moto wako badala ya kusifia kila kinacho tamkwa kufanywa na JK .Karibu na mimi naendelea kuwa Mpumbavu wana JF watabaki wanakumulika sasa .Unajua mabandiko yako machache yote una jaribu ku derail hoja .Nia ni ipi hatujui lakii we are smart .

Utanisamehe kwa lipi? kama ni neno upumbavu umelianza wewe na mimi najibu mapigo tu. Hoja unajibu lakini leo unanishangaza kwa kujibu swali fupi kwa shutuma dhidi yangu.

Hakuna cha kushangaza, mtu akiona upuuzi umezidi anajiondekea tu au unataka kusema JF ni kwa ajili ya watu wa aina fulani tu? au unataka kuniambia kuwa hapa ni ibada ambayo mtu akiianza hatakiwi kuikatiza? au unataka kuniambia humu JF kuna watu hawakubali kunyodolewa hoja zao? tusitishane, mimi si mtoto mdogo wa kutishwa kipumbavu. Una hoja lete huna kaa kimya usianze hasira, au na wewe Chadema na una machungu ya Kiteto?
 
Nimesoma kwa karibu mchango wa wanaJF wote. NI kweli kuna mingong'ono mjini kwamba EL anataka kujitenga, mara anataka kujisafisha n.k.
Mi nadhani tukiangalia siasa za hapa kwetu wote wawili wanacheza mchezo wa kitoto. Lakini ni kweli kwamba EL is smarter than JK, na ndiye mastermind mkubwa wa uchaguzi wa JK kuanzia within CCM mpaka uchaguzi mkuu. Tatizo - kama Ngurumo alivyoandika - ni kwamba EL ana uchu wa madaraka.
Tukichukulia mfano wa siasa za Marekani ni kama Bush (JK) na Karl Rove (EL). Sasa imagine Karl Rove angekuwa na uchu wa madaraka? Hawa wawili - EL na Karl Rove - ni watu hatari sana kwa sababu they are competetive na wako tayari kushinda at all costs.
Tatizo ni kwamba kama JK amekosa strategist , who steps in the shoes of EL? Ndiyo maana wana JF wengine wana-doubt kama hawa wawili wanaweza kutengana. Lakini tukumbuke hata ndoa zinavunjika sembuse ushikaji wa kinafiki hivi?
But these are interesting times... mi nadhani EL yuko serious katika jitaihada zake za kujijenga upya kisiasa, tatizo - kama nilivyosoma - hana subira. Lakini kama angekuwa mvumilivu hata mwaka 2015 angeweza kugombania urais!
Kati ya EL na JK hakuna mwenye nafuu, mi naomba tu watanzania tufungue macho tutafute mwanasiasa mwingine wa kuendesha nchi yetu. Also the notorius gang of Boy II Men na wanamtandao have to go!
 
Nauliza, kale kadawa ka sumu ka kuuua watu taratibu kanapatikana wapi? katatusaidia kuepukana na haka kaugonjwa ka El...
 
Utanisamehe kwa lipi? kama ni neno upumbavu umelianza wewe na mimi najibu mapigo tu. Hoja unajibu lakini leo unanishangaza kwa kujibu swali fupi kwa shutuma dhidi yangu.

Hakuna cha kushangaza, mtu akiona upuuzi umezidi anajiondekea tu au unataka kusema JF ni kwa ajili ya watu wa aina fulani tu? au unataka kuniambia kuwa hapa ni ibada ambayo mtu akiianza hatakiwi kuikatiza? au unataka kuniambia humu JF kuna watu hawakubali kunyodolewa hoja zao? tusitishane, mimi si mtoto mdogo wa kutishwa kipumbavu. Una hoja lete huna kaa kimya usianze hasira, au na wewe Chadema na una machungu ya Kiteto?

Smelling kada mpinzani
 
Mwenda pole, your comments are not appropriate and uncalled for. Please retract your statement!

Rev. poa moto. Kwa mtizamo wangu Lowassa kama Lowassa hana tatizo; tatizo ni TABIA yake, hiyo roho inayomsukuma kutaka kuleta yale yanayoptokea huko kwa majirani zetu Kenya.
Hiyo TABIA ya tamaa, kiburi, dharau, ubinafsi,...hiyo tabia hiyooo, inabidi iuawe mapema kabla hatujafika mahali pa kuhesabu miili kama kwa wenzetu.

Now tell me, is my position uncalled for and inappropriate?
No Rev. hata Biblia inasema roho itendayo dhambi ndio itakayokufa!
 
Kama JK angetumia busara toka mwanzo, yaani angemteua waziri Mkuu mwenye hadhi na ofisi ya U-PM, ujinga huu tunaolia nao sasa usingekuwepo. So by any standards JK better than EL!!!

Na hapa ndio sisi wengine tunapoona kwamba huyu Lowasa ni lesser evil kwa sababu hamna ushetani mkubwa kama ignorance. Ni swala la kujiuliza tu kipi ni rahisi kukitibu: kukosa maadili au kukosa busara? Ni rahisi kumrekebisha mtu kimaadili kuliko kujaribu kufuta ujinga. It may not be too late kumrekebisha huyu aliyeharibika kimaadili but I think it is too late kujaribu kumsaidia huyu mwingine aerebuke.

The bottom line: So long as tunaendelea kutafuta viongozi kutoka ndani ya CCM, we are doomed for many years to come. Ukweli ni kwamba kuna a big leadership vacuum katika hiki chama. Watu wengi wenye sifa za kuwa viongozi wa nchi katika CCM hawapo katika "the line of throne", wengi wao ni reject kabisa: Mwandosya, Salim, Warioba, Mwakyembe, etc. Waliopo katika the line of throne ndio hao ndugu zangu akina Pinda, Nchimbi, Shein, Makala, Membe; Haya sasa hebu niambie ni lini tutapata viongozi mahiri from this party kama watu wenyewe ndio hawa? Ndio maana wengine tumechagua the most difficult route, opposition, kwa kujua kwamba hapa tunahitaji tuanze moja, yaani afresh.

Halafu, mimi ndugu zangu mnanichosha. Wengi wetu hapa mnamuunga mkono Obama. Na sababu kubwa za kumuunga mkono Obama ni kwamba huyu ni mtu anayewakilisha mabadiliko. Na slogan muhimu ya Obama ni kwamba mabadiliko hayawezi kuletwa na watu ambao ni sehemu mfumo tunaotaka kuubadilisha. Sasa inakuwaje tunapoongelea mabadiliko kwa upande wa Tanzania hatutaki kutoka nje ya CCM? Itawezekanaje wana CCM haohao ambao wamekuwa sehemu ya mfumo huu tunaoulalamikia walete haya mabadiliko?
 
No Rev. hata Biblia inasema roho itendayo dhambi ndio itakayokufa!

Mungu hamchukii mwenye dhambi bali huichukia dhambi, na roho itendayo dhambi itakufa. Lakini Mungu atakapokuja kukotokomeza dhambi,mwenye dhambi aliyetubu, na mwenye roho ya iliyotenda dhambi na ikatubu itaokolewa. La, sivyo,mwenye dhambi na mwenye roho itendayo dhambi pasipo kutubu mshahara wa dhambi ni mauti. Lucifer alitupwa chini maana alikataa kutubu kwa sababu ya kukikodelea macho cheo cha Mungu!Vilevile EL and Co.(Mafisadi)have to repent their sins else be dumped like Lucifer....!
 
Rev. poa moto. Kwa mtizamo wangu Lowassa kama Lowassa hana tatizo; tatizo ni TABIA yake, hiyo roho inayomsukuma kutaka kuleta yale yanayoptokea huko kwa majirani zetu Kenya.
Hiyo TABIA ya tamaa, kiburi, dharau, ubinafsi,...hiyo tabia hiyooo, inabidi iuawe mapema kabla hatujafika mahali pa kuhesabu miili kama kwa wenzetu.

Now tell me, is my position uncalled for and inappropriate?
No Rev. hata Biblia inasema roho itendayo dhambi ndio itakayokufa!

Yes the bible , old tastement called for eye for an eye. You are asking for a pill to kill him that sounds like assasination calll!

We do nott call for assasinations here! In wake of what happened to JF, your statment asking for a pill to take his life is uncalled for and I personally would not tolerate it!
 
He chose and used those words being his way of expression.Siamini kama akipewa kidonge atampa mtu afe hapana .Nadhani alikuwa na maana ya kuonyesha frustrations zake ambazo hawezi kufikia kuua mtu .Mimi nasema ama nataka kuamini kwmba hana nia ya kuua ila ni lugha kaitumia kujieleza kwamba hawezi kuvumilia kuyaona haya .MAONI YANGU
 
Nimesoma postings nyingi za wana jf na nimeona wengi mnataka mabadiliko makubwa.Naungana na wewe Kitila,kwenye hoja zako. Mimi kwa maoni yangu jambo la msingi ni kureview hiyo katiba ambayo imetoa mwanya kwa viongozi kutowajibika kwa wananchi.Katiba ya sasa iko upande wa viongozi wako juu ya sheria ndio maana wanaweza kuwa juu ya sheria.Tutengeneze katiba ambayo itatoa fursa kwa raia wote kuwa sawa mbele ya sheria.Vilevile sheria yetu ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho iwe huru hapo uwezo wa wananchi kuweka uongozi wanaotaka itawezekana.
 
Wakuu, Lowassa ndio hivyo ameshazimika kama moto wa kibatari. Wapambe wake wanaweseka tu. Hawezi kuinuka tena. Kikwete haiwezi kuruhusu hilo litokee tena katika utawala wake. Asiyetaka kuamini hilo shauri yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom