Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,890
- 1,082
Vyama vinaweza kuungana na vikabaki na Identity yao....Otherwise mabadiliko ya katiba yafanyike ili kuwa chama kimoja(Kitu ambacho siki support)
Ku maintain identity vyama vinaweza kusimamisha mgombea mmoja wa urais na vingine vikamunga mkono....Katika nafasi za ubunge na udiwani visisimamishe wagombea kwa kupingana..wawe na mgombea mmoja ...waaangalie chama gani kina nguvu katika eneo husika....Ni kweli baada ya 2015 vyama vya upinzani vitakuwa kwenye test kubwa sana.....Ni utaahira kufanya jambo hilo hilo kwa njia zilezile ka kurudia rudia ukitegemea majibu tofauti