Agenda 2010: Supporting those who will stand for Change

Mzee Mwanakijiji,

The change will begin withMwananchi realizing that he needs to change his thinking, his actions and his attitudes.

We need to aggresively do Soul searching and self examination of our minds before the election day!

If we are trully eager and desire changes, then this year will be the year that changes will start to take effect. Ni mpaka hapo basi...
 
we will push this agenda for change to the point that it become a battle cry for the election year. We will try as much as possible to sensitize our people to long for change and to work actively to bring it to reality.
 
Kama kuna 'breaking news' yoyote kwa mwaka huu 2010 so far ni hii comment ya ndugu yetu Kasheshe!

Baraka iliyoje. Akhsante sana Kasheshe for coming to terms with what we've been pondering about for the past 3 - 4 years!

Agenda 2010 - Change is what we want, nothing less, nothing more for change is necessary and inevitable!

Be part of it or move aside.. na kuwa mtazamaji!!
.

Nakubaliana na wewe.
It's about time every citizen in our beloved country should come to terms with the truth that we have failed as a country to move a step towards a future we can all be proud of. But some people have contributed more in us failing to this end. At the end of the day we should agree, it's not only about changing the guy at Luthuli street, but the whole system needs a major overhaul.

The change of our mind sets can be a big step forward, when people will realize that God blessed us with every resource we need to develop, greedy, selfishness, hypocrisy and all other evils have brought us this far. In fact, up to the moment am writing this, there is no single plan in place to change this. Kids are still taught to value a person who gives them something, even if the guy is a total stranger to them. A 7-year boy/girl is taught to enter into political bribery to prepare future leaders??
Everyone does his/her best to steal/kill to be rich, that's what the society wants. The society does not ask where does one get the money, but sing songs of praise to a thief/killer who gives them coins.

Mwenye fedha ndiyo mwenye akili ya kuongoza, haishangazi watu wanapoenda kumpigia magoti Manji au Dewji awe kiongozi wao, si kwa sababu wameona sifa za uongozi kwao, ni kwa sababu wana uhakika wa kupata senti kwa wakati huo, wakisahau kuwa wanauza uhuru wao na wa wajukuu wao.

Watu wapo tayari kuajiriwa kusema uwongo wa kumtetea dhalimu yeyote kwenye jamii, ili waendelee kufaidika na zawadi.
Walatini walikuwa wanamsemo mmoja ambao kwa kiingereza: "I fear the Greeks, because they give presents".
Bila shaka tungejiuliza kwa nini mtu akupe zawadi bure bure tu, tungefika sehemu tungeelewa kuwa huyo anayetoa anataka mara elfu ya alichokupa.

Suluhisho tunalo wenyewe, tuuanzapo mwaka huu, tunaweza kuleta mabadiliko kutokea hata kwenye nyumba zetu kwa kufundisha tunu sahihi kwa vizazi vyetu, na kuanzia kwenye ngazi ya familia, shule,kijiji, mabadiliko yanaweza kuja. Otherwise, tutafanya kazi bure kudhani tunabadilisha mkazi wa Luthuli na kuleta mwingine ambaye naye amefadhiliwa na watu wengine wenye malengo yao tofauti.
Heri ya mwaka mpya!!
 
Mzee Mwanakijiji, kwa kweli pongezi kwa kuweka kile ambacho Watanzania wengi tunafikiri lakini tumeshindwa kukipanga kwa usanifu kama ulioonyesha hapo juu.

Kama kweli JK ni kiongozi dhaifu kama anavyoonyesha, basi mungu ampe courage kidogo tu ya kufuata mawazo yako hapo juu na kwa kweli tutafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko blah blah zinazoendelea sasa hivi.

JK, peleka pesa za serikali kwenye Afya, Kilimo, Elimu na miundombinu na hakikisha hela hizo zinatoa Value for Money, UTAFANIKIWA zaidi ya hapo Unatufanya watanzania wote tuwe TUMEFULIA mkuu.
 
Mzee Mwanakijiji,

The change will begin withMwananchi realizing that he needs to change his thinking, his actions and his attitudes.

We need to aggresively do Soul searching and self examination of our minds before the election day!

If we are trully eager and desire changes, then this year will be the year that changes will start to take effect. Ni mpaka hapo basi...
Rev, Mwananchi can not realize the need to change his thinking and take actionsm he has to be made to think.

The principle is simple, its Newton's 1st law of motion that the static thing will remain static unless another force is applied to it. If we don't have solid, workable, practicable, reaching out strategies to reach the 80% still in darkness, 2010 ni hadithi ile ile!. Yes tuandike sana all theories, but we need actions on the grassroot which is the battle ground.
 
Mtu hawezi acha asili yake bwana. JK anaongea mno sidhani kama ana muda wa kufuatilia anayoahidi. With his tight travelling schedule, anafuatilia wakati gani maendeleo yetu sisi kama nchi?
 
Mtu hawezi acha asili yake bwana. JK anaongea mno sidhani kama ana muda wa kufuatilia anayoahidi. With his tight travelling schedule, anafuatilia wakati gani maendeleo yetu sisi kama nchi?
Hana haja ya kufuatilia yeye, si anayo timu yake inayotakiwa kufuatilia na kumpa ripoti, wamwemwambia everything is in controll, tena wanamuhakikishia, October ni 99% with 1% of error, kwa vile wapinzani hawana mtu wa kumsimamisha!.
 
Mzee Mwanakijiji,

The change will begin withMwananchi realizing that he needs to change his thinking, his actions and his attitudes.

We need to aggresively do Soul searching and self examination of our minds before the election day!

If we are trully eager and desire changes, then this year will be the year that changes will start to take effect. Ni mpaka hapo basi...
hiyo ndio dawa ya CCM sio kupigizana kelele na handful of mafisadi wasiosikia na kudhani wametushika akili watu millioni 40.
 
we will push this agenda for change to the point that it become a battle cry for the election year. We will try as much as possible to sensitize our people to long for change and to work actively to bring it to reality.

Mmm! wabongo kwa kuiga neno change kwakuwa katumia Obama basi kila mwenye political aspirations lazima aliweke! mta-inniatiate slogans zenu wenyewe lini?

Having said that karibu kwenye majukwaa ya siasa ya Tanzania...
 
Hapo unapotumia hiyo keyboard na computer yako na wewe unaiga. Bila kuiga huwezi kuendelea ndugu yangu.

Tuonyeshe wewe kitu ambacho hujaiga.
 
Hapo unapotumia hiyo keyboard na computer yako na wewe unaiga. Bila kuiga huwezi kuendelea ndugu yangu.

Tuonyeshe wewe kitu ambacho hujaiga.

Wapi? kuiga ndio hutaendelea ndugu

Kutumia computer siyo kuiga ni skills (unajifunza) ...ni tofauti na kuiga political slogan, economic idea, etc ya mtu mwingine kwenye mazingara ya kiTanzania..

Sijawahi kuiga mtu kwa chochote..nikuonyeshe nini siigi chochote
 
Nipe tafsiri fasaha ya kuiga.
 
right unless you have objections

Sasa ndugu yangu nimekwambia Kiswahili fasaha. Hilo jibu lako sio sahihi jibu sahihi ni pamoja na kujifunza. Leo hii kama sio kuiga dunia ingekuwa na wakati mgumu sana. Mfano angalia jinsi magari yalivyo evolve kutoka design za zamani na siku hizi computerized. Mobile technology ambayo walioanza kutumia ni KGB nk. Unapoiga unajifunza mbinu mpya.

Babu zetu walikuwa wanavaa ngozi na hata nyumba Afrika haikuwa deal kabisa miaka mingi iliyopita lakini hivi sasa unaona mambo yanavyo badilika. Huwezi kuiga bila kujifunza hiyo inakuja naturally hata saa zingine huwezi kujua kama unaiga.
 
Siyo kweli..kujifunza siyo kuiga hata siku moja

Anyway tuendelea na mjadala maana hakuna maana yoyote hapo, "change" slogan ametumia obama naona wanasiasa wengi wanaiga kama njia ya kutokea...mimi naona ni ujinga kwasababu wanaiga siyo kwamba wamejifunza skills zozote hapo..
 
Tumain

BTW nikuulize swali moja. Unapokwenda college kusoma au kujifunza ile huwa sio idea yako kuna watu au mtu ameweka ule mlolongo wa wewe au mtu yoyote kujifunza kitu kipya ambacho kilifanywa na mtu au watu wengine. Tendo la kufanya vile ni kuiga tayari kwa sababu ile siyo idea yako. Kwa maana hiyo new ideas ni chache sana na ndio sababu kunakuwa na patent. Hilo neno la Change halijawahi kuwa na patent hivyo mtu/watu wowote wanaweza kulitumia.
 
Sawa kabisa...anaweza kutumia mtu yeyote..lakini inaonyesha jinsi tulivyo na mawazo mpaka au lazima limetumika mmerakani au UK..kwahiyo wanaiga tu waonekana nao wanaongea kama obama aagh! ujiga huo ndio mimi siu support...

College kuna kitu kinaitwa originality of the concept hii ndio ina matter so unaweza kujifunza idea za watu lakini wewe kama mwanafunzi unatakiwa uwe na own idea (original/contribution/innovations/etc) siyo kuiga iga ki..lofa lofa..
 
Myself I wouldn't worry too much about the name Change, the policies are the ones which will determine the future. Na hilo neno halikuanza kutumika na Obama kuna documentary evidence ilionyeshwa kwenye TV. Nitajaribu kuipata ila recently kwa sababu Obama alilitumia effectively ndio wengi walio madarakani hawalipendi na linawakuna.
 
Back
Top Bottom