age gap relationship.

Blue_Face

Member
Jan 26, 2011
94
6
mimi na mke wangu (3 yrs mrrge), age gap yetu ni 17 yrs.
tumejaaliwa kupata watoto wawili wazuri, tunapendana na
hasa yeye ananipenda sana2.

kwa muda nimekuwa nikikerekwetwa kuhusu future yetu,
huwa nafikiria nikifiaka 50 yeye atakuwa ndio kwanzaa 30's
unajuwa mke na mume sio kula na kuvaa tu, kuna mambo
ya uke na uume, na age kubwa itaanza kuta tatizo hahaha.

nimemweleza (for her future), ni bora atafute mume age
kama yeye mapemaa kabla ya kufika mbali, lakini imekuwa
vigumu kukubali, anasema hataki kusikia age difference yetu,
atanipenda mpaka kufa.

wasi2 wangu uko pale pale, mola akinifikisha umri mkubwa
labda fikra zangu mbaya - nini advise yenu, continue with
our life or else...
 
Umri sio tatizo sana mkuu, maadam mnapendana. Au wewe humpendi, hadi unafikia kumwambia atafute mume mwingine!
 
umri ni namba tu mkuu.wapo wenye miaka 50 lakini mziki wao balaa.na wapo vijana miaka 18 tu lakini choka.cha msingi ni kuanza mikakati ya kutunza afya mapema ili hata ktk umri huo uendelee kua na uwezo wa kugawa dozi inavyotakiwa.
 
nampenda sana mkuu, was2 wangu nona miaka kifika asije akageuka, ndio mana namuuliza sasa.
 
Mi naona hili ni shairi tu and you dont mean anything serious!
Kama ni mkeo kwanini ufikirie uovu huo?...akitafuta bwana wewe utafaidi nini?
 
umri ni namba tu mkuu.wapo wenye miaka 50 lakini mziki wao balaa.na wapo vijana miaka 18 tu lakini choka.cha msingi ni kuanza mikakati ya kutunza afya mapema ili hata ktk umri huo uendelee kua na uwezo wa kugawa dozi inavyotakiwa.

life style yetu siku hizi mchoko mkuu - nawaona age ndogo kama ulivyosema tayari kugawa gozi mchoko haha
 
Sasa akikuambia leo kapata mwingine wa age yake na usipate shock jua humpendi.

Kwa hiyo wewe mpango wako ni kubaki msimbe au na wewe utatafuta wa age yako?
 
Mi naona hili ni shairi tu and you dont mean anything serious!
Kama ni mkeo kwanini ufikirie uovu huo?...akitafuta bwana wewe utafaidi nini?

jimmy, kila mmoja na fikra zake, nakubaliana na wewe ni fikra za uovu lakini I don't know
that's how I think, yote ni sababu ya ile gap/difference ya age yetu.
 
Watu wengine bwana, yaani uache kuenjoy maisha sasa na mkeo ukamwacha afurahie life unaanza kumkatisha tamaa kuhusu suala la miaka 10 mbele? na hao watoto wenu?

Usingemuoa tokea mwanzo bora maana yaonyesha humpendi.
 
mimi na mke wangu (3 yrs mrrge), age gap yetu ni 17 yrs.
tumejaaliwa kupata watoto wawili wazuri, tunapendana na
hasa yeye ananipenda sana2.

kwa muda nimekuwa nikikerekwetwa kuhusu future yetu,
huwa nafikiria nikifiaka 50 yeye atakuwa ndio kwanzaa 30's
unajuwa mke na mume sio kula na kuvaa tu, kuna mambo
ya uke na uume, na age kubwa itaanza kuta tatizo hahaha.

nimemweleza (for her future), ni bora atafute mume age
kama yeye mapemaa kabla ya kufika mbali, lakini imekuwa
vigumu kukubali, anasema hataki kusikia age difference yetu,
atanipenda mpaka kufa.

wasi2 wangu uko pale pale, mola akinifikisha umri mkubwa
labda fikra zangu mbaya - nini advise yenu, continue with
our life or else...

Huna umri wa kuwa mke mliyepishana miaka 17...
 
hapo kwenye bold umepaona? inaonekana yeye anakupenda sana tu but wewe sio kiivyo. Wewe sema umemchoka umepata wa kwako huko wataka umuache. Wewe utaanzaje kuwaza sijui ukifika 50s mara wamwambia atafute wa age yake? sikuelewi. Sio kwamba una feel insecure but umepata mwingine watafuta tu sababu
 
Acha kujishtukia.Wanawake wanahitaji wanaume wenye confidence.Be strong Broda!
 
Mi naona hili ni shairi tu and you dont mean anything serious!
Kama ni mkeo kwanini ufikirie uovu huo?...akitafuta bwana wewe utafaidi nini?

Bro hata mimi huyu jamaa kanishangaza sana, hivi nini lengo lake? au ni shairi kama ulivyosema?
 
Watu wengine bwana, yaani uache kuenjoy maisha sasa na mkeo ukamwacha afurahie life unaanza kumkatisha tamaa kuhusu suala la miaka 10 mbele? na hao watoto wenu?

Usingemuoa tokea mwanzo bora maana yaonyesha humpendi.

kitu kingine sikusema hapo juu:

mimi ni mpiga jembe tu, yeye anakazi yake na mshahara mzuri - hii pia inaniweka kwenye fikra.
sitokuwa mbali na watoto wangu and will support them kwa kila kitu.
 
ulishavua nguo huna budi kuoga,,,, kadri umri wa mwanaume unavyosogea hata kama unakula vipi uwezo wako wa kufanya ile kitu unapungua labda uongeze na viagra,,,,halafu umri wa miaka 30 kwa mwanamke ndo umri ambao anafurahia sana kale katendo,,, sasa kama we utakuwa 50!!!! Hapo kazi ipo..
 
Back
Top Bottom