mka
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 318
- 81
Lissu nadhani wakati mwingine huwa narukwa kidogo na fahamu, kwani kwa kauli yake ya leo juu ya kuwadharau majaji ni wazi kabisa amepotoka, na hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumtetea Lissu labda awe na moyo wa chuma
Kwa bahati mbaya hujui ulisemalo. Lissu amesema ukweli leo kuna majaji wasioweza kufanya kazi zao vizuri na kwa weledi unaotakiwa. Wapo majaji wapya wasioweza 'kurecord' mwenendo wa kesi 'court proceedings', wasioweza kuchambua maelezo ya kesi na sheria vizuri, na hukumu zao zinautata sana. Ukieleza sheria zipoje wanakasirika. Tunayaona kila siku mahakamani. Ungekuwa upo kwenye taaluma ya sheria ungeyaona. Kiujumla twahitaji kuwa na utaratibu mpya na wawazi wa uteuzi majaji wa mahakama kuu na mahakama ya rufaa.