jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Nilidhani wabunge wana Parliamentary privilege. Hawawezi kushitakiwa kwa mambo wanayoongea ndani ya bunge, no?
Yalongwayo bungeni hayahojiwi wala kushtakiwa popote!!!!!!!!!
Werema ni zuzu.
Nilidhani wabunge wana Parliamentary privilege. Hawawezi kushitakiwa kwa mambo wanayoongea ndani ya bunge, no?
majaji wameiheshimu sana kauli ya Lissu, maana kuna majaji makanjanja kibao huko nowadays, kilaza werema pekee ndo kavimbiwa!!!! Kwanza huyu jaji werema hata anaposoma kiingereza inamsumbua itakuwaje kwenye kuandika!!!
Lissu nadhani wakati mwingine huwa narukwa kidogo na fahamu, kwani kwa kauli yake ya leo juu ya kuwadharau majaji ni wazi kabisa amepotoka, na hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumtetea Lissu labda awe na moyo wa chuma
Na uhakika ww si mtanzania, njoo Tanzania tukufunze kiswahili, uwe na uwezo wakujenga hoja na ndipo uanze kuchangia.
Na uhakika ww si mtanzania, njoo Tanzania tukufunze kiswahili, uwe na uwezo wakujenga hoja na ndipo uanze kuchangia.
Lissu amekuwa mdogo kama pilton, amepewa hata mike kuongea amekataa, ameshikwa pabaya na ameingia choo cha kike leo, hana pa kutokea
Na uhakika ww si mtanzania, njoo Tanzania tukufunze kiswahili, uwe na uwezo wakujenga hoja na ndipo uanze kuchangia.
ofcoz wana hiyo priviledge lakini pale anaposema jambo la uongo na akakataa kulifuta anaweza kupelekwa kwenye tume ya nidhamu!
But to be fair Tundu alichokidai ni kuwa baadhi na si majaji wote ambao recently Rais kawateua hawakuwa approved na judicial commission ambao ndio wanao-recomend kwa rais na kumshaur juu ya mtu yupi anafaa kuwa appointed as a judge! Kutokana na hilo anadai kuna some judges hawajui majukumu yao na hata kushindwa kuandika judgement ya decided cases!
Lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira, na si mtaalam wa sheria za katiba, upo hapo ? kwa minajili hiyo basi utajua Lissu ni limbukeni wa sheria, na ni mpayukaji tu, kwa nyie mnaopenda hata mmeisha ingia upofu
wana jf, tatizo la watanzania ni kutaka kutokusema ukweli na hivyo kuukwepa. Heri yake tundu lissu aliyeisema hiyo kweli maana kwa kuisema kwake hiyo kweli hakika nafsi yake itaendelea kuwa huru. Sisi tulioko kwenye tasnia hii ya sheria tunajua. Kuna majaji kwa kweli mpaka unashangaa,waliteuliwaje? Yaani mambo ya msingi kabisa unashindwa kujua ueledi wao. Wengine wamekuwa wakifanya tu maahirisho ya kesi wakingojea muda wapate uhamisho kutoka registry moja kwenda nyingine. Walikuwepo pale mahakama kuu upande wa ardhi hovyo kabisa,kuna mama mmoja alikuwa jaji pale yeye ni hasira muda wote akikwepa kusikiliza mashauri yaliyoko mbele yake. Go go go tundu,you have said and said it all,you have said the truth and the truth shall set you free. Huyu chikawe hayumo kwenye korido za mahakamani,anaongea kitu asichokijua na anatetea kitu asichokijua,ni mchumia tumbo tu huyokwani akipelekwa kwenye tume ya nidhamu ndiyo mahakamani..
Watamsikiliza Lisu hawatamwelewa, Wataamuangalia hawatamuona vizuri, Wasameheni maana hawajui watendalo.
Hawajajibu hoja za lisu hata moja, wanarukaruka tu. Sheria ni sheria tu hunikategoraiz mimi kwa stail hiyo.