AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka!

Nilidhani wabunge wana Parliamentary privilege. Hawawezi kushitakiwa kwa mambo wanayoongea ndani ya bunge, no?
 
Lissu nadhani wakati mwingine huwa narukwa kidogo na fahamu, kwani kwa kauli yake ya leo juu ya kuwadharau majaji ni wazi kabisa amepotoka, na hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumtetea Lissu labda awe na moyo wa chuma

Kawadharau kivipi Mkuu?
waonaje ukafafanua kidogo
 
job ndungai au vyovyote wanvyokuita umevimbiwa unaibu spika unafikiri ur on top of the world,lakini kumbuka baba yako sita alishamtoa nje zito ndio umaarufu ukaongezeka sasa endeleza ubabe wenu wa ccm usiotumia hekima wala busara hata ile sara mnayoanza nayo asubuhi siyo ya kumuomba mungu sababu ccm hamumjui mungu 99%ya wabunge wenu ni washirikini wauwaji wa maalbino wazurumaji wa mli za maskini wezi wa mali ya umma na wanafiki hivyo sala inayokufaa wewe na wenzako wa ccm ni sara ya shetani tu na kumbuka unaibu spika unapita na very soon watakutosa kama sita
 
ntashukuru kama nikipata more details! kumetokea nini? Lissu kasemaje? Ndugai kafanyaje?
 
Nilidhani wabunge wana Parliamentary privilege. Hawawezi kushitakiwa kwa mambo wanayoongea ndani ya bunge, no?

ofcoz wana hiyo priviledge lakini pale anaposema jambo la uongo na akakataa kulifuta anaweza kupelekwa kwenye tume ya nidhamu!
 
Lissu nadhani wakati mwingine huwa narukwa kidogo na fahamu, kwani kwa kauli yake ya leo juu ya kuwadharau majaji ni wazi kabisa amepotoka, na hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumtetea Lissu labda awe na moyo wa chuma

majaji wameiheshimu sana kauli ya Lissu, maana kuna majaji makanjanja kibao huko nowadays, kilaza werema pekee ndo kavimbiwa!!!! Kwanza huyu jaji werema hata anaposoma kiingereza inamsumbua itakuwaje kwenye kuandika!!!
 
Tatizo la wabunge wa CCM ni unafiki. Wakiwa huku nje wa bunge wanalalamika sana, lakini wakiingia ndani ya ukumbi na mbunge wa CHADEMA akiwasilisha malalamiko yale yale wanayopigia kelele nje wanaanza kuzomea!.

Nadhani wameshatishiwa kuwa kama hawaku-side na govt uchaguzi utaitishwa! Na wao wamenunua that white lie!
 
ofcoz wana hiyo priviledge lakini pale anaposema jambo la uongo na akakataa kulifuta anaweza kupelekwa kwenye tume ya nidhamu!

Nadhani AG amwe mwangalifu maana ukweli umri wa majaji ni gumzo.
 
job ndungai au vyovyote wanvyokuita umevimbiwa unaibu spika unafikiri ur on top of the world,lakini kumbuka baba yako sita alishamtoa nje zito ndio umaarufu ukaongezeka sasa endeleza ubabe wenu wa ccm usiotumia hekima wala busara hata ile sara mnayoanza nayo asubuhi siyo ya kumuomba mungu sababu ccm hamumjui mungu 99%ya wabunge wenu ni washirikini wauwaji wa maalbino wazurumaji wa mli za maskini wezi wa mali ya umma na wanafiki hivyo sala inayokufaa wewe na wenzako wa ccm ni sara ya shetani tu na kumbuka unaibu spika unapita na very soon watakutosa kama sita

Na uhakika ww si mtanzania, njoo Tanzania tukufunze kiswahili, uwe na uwezo wakujenga hoja na ndipo uanze kuchangia.

Similar Discussions

Back
Top Bottom