Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
serikali inadai kuongeza mishahara kwa asilimia mia moja na saba ukilinganisha na kiwango cha 2005,wakati huo sukari tu imeongezeka kwa aslimia 300 ukilinganisha na 2005,hapa ni sukari na sitaki kuzungumzia mfumuko ktk mambo mengine,je ni ongezeko la mishahara au masihara?wafanyakazi tusidanganyike
Kwa kweli haya ni masihara makuu..