Afya za wapenzi wapya

yantuzu

Senior Member
Dec 10, 2011
115
16
Nimekuwa nikifuatilia comments za wana JF katika maswala ya mahusiano (Mapenzi), mara nyingi wanatoa ushauri wa kwenda kupima kabla ya kuanza kushiriki katika swala zima la ngono, Je wewe ulienda kupima wakati unaanza uhusiano wako na huyo/hao uliye/ulio naye/nao? Mimi sijawahi kutangulizana na mpenzi wangu mpya yeyote ....... ila nilishapima wadau!
 
Subiri vijana waje wakujibu. sie enzi zetu hatukuwa na haja ya kupima kabla. Tumekuja kupima uzeeni.
 
Wewe chukua tahadhari kabla ya hatari, kupima ni mhimu sana.Mimi kigezo cha kwanza ni kupima then mengine yatafuata,akisita tu basi nachana nae
 
Back
Top Bottom