'afya ya prof Maji Marefu yatengemaa'

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Katibu wa Bunge Dr Kashilila amesema Afya ya mbunge wa Korogwe vijijini mh.Stephen Ngonyani ,maarufu kama Profesa Majimarefu inazidi kutengemaa na kuanzia sasa wakat wowote atarud nyumban,,,,Dr Kashilila amesema kwamba Maji marefu ameshapona na hivyo ataruhusiwa muda si mrefu.
Sosi:Nipashe
 
Mi huwa najiuliza mbona sisi tunatibiwa humuhumu na tunapona???na pia sijawah kumsikia kiongoz wa kisiasa awe wa upinzan au chama tawala akipinga kupelekwa India kwa Matibabu ili aoneshe kuwa ana uchungu na watanganyika
 
Back
Top Bottom