Afya ya Kikwete bado yatatiza: Cheche Toleo la 46

Mkuu MMKJ, mi naona wabongo hatujazungumzia suala hili kwa upana zaidi.. jarida lako ni zuri na limenifurahisha.
Hao wanaojaribu kutuambia kuwa eti kuanguka kwake ndo kutamsaidia kushinda wanatumia imani zao potofu kwani mtu mzima kuanguka /kuzimia si kitu cha kawaida na kwa kuwa si mara ya kwanza basi ni hatari zaidi... mi ningeomba Chadema na vyama vyote vya upinzani vianze kupiga makelele kuomba ripoti ya ukweli kuhusu afya ya rais... hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye afya yake ni mgogoro... na kama tutamchagua tena... ole wetu!
 
Hili sio tatizo la afya ya CCM, hili ni tatizo la afya ya rais wa nchi yetu, ni kiongozi wetu. Sasa jamani tutakaa kimya pia kwenye hili tusubiri CCM watueleze wanachotaka na wanavyotaka hata kama tunajua kuwa hatuwezi sana kuamini wanavyotueleza. Sio lazima tuwaamini CCM wala dactors wa rais. Sababu kuu ya kutokuwaamini ni kuwa hawaelekei kujua kama wanaamini hata kwenye haya wanayotueleza.

Maelezo yao sio ya kitaalamu, na yanajikanganya mno.
Tatizo la shingo, pain killers, anti inflamatory tablets,arthritis, epilepsy, diebetes, drugs addiction, fasting, heart problems, disable, lack of sleep, depression,insomnia na mengine mengi ambayo hawajasema. Kwa kifupi haya yote yanaonyesha kuwa mheshimiwa ana matatizio ya kiafya, ama yote yalotajwa hapo au moja au mengine ambayo hayajatajwa.

Life style: eti mzee anachoka sana akitembelea ndugu jamaa na marafiki,yuko kwenye harusi, ngoma, hospitali, ughaibuni, ili mradi tu ana zurura, halali sababu anachat sana online

Lingine ni hili la DUA. Eti rais ameathiriwa na anadhurika na dua/majini/mashetani anayowekewa ili ashinde uchaguzi. Sasa hili limenichanganya zaidi nikaomba msaada wa maelezo toka kwa mwenzangu mtaalamu wa haya mambo. Amenieleza kuwa hili ndilo tatizo kubwa linalo msumbua mheshimiwa.

Nimetafakari haya yote naona watanzania ni huruma kabisa! The future isnt looking good.
Lakini nazidi kujiuliza, tutafanya nini ili iwe nini?
 
si afe tu jamani tujue moja?

kweli wewe ni mpuuzi kama unavyojiita. Halafu umeweka picha ya mzee kapuya as if yeye pia ana mawazo ya mtindio wa akili kama yako. Si ufe wewe kwa nini unamuombea rais wetu mpenzi afe. Ingekuwa enzi za nyerere tungekupelekeea mahali tukakufundisha heshima
 
Back
Top Bottom