Afumaniwa na dada yake akijivinjari na shemeji yake

Sijamalizia hata kusoma baada ya kufika hapa kutaarifu baadhi ya ndugu waliopo jirani ili waweze kuwakuta kwa ushahidi zaidi na kisha kukimbilia kituo cha polisi.

Aliomba msaada wa kituo cha Polisi kilichopo Magomeni ili wawachukue wawaweke selo.
Huu ndio udhaifu wa wanawake na siku zote nasema.......ndugu sawa lakini jirani na polisi ili iweje?
 
mwee shemeji shemeji zima taa hiyo..Huyu jamaa yuko very proffesional kwenye haya mambo yaani binti kajimuvuzisha shule naye na mama watoto kazini,kufika mbele mzee kauwa winga karudi kurekebisha ..teh teh kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom