After Google Inc,Now Paypal has also chosen Kenya

Do you remember me posting a post about Google services in Kenya ie paying all its African employees in Kenya Shillings...due to what it said about confidence in Kenyan Economy?
Now Paypal has also landed in Kenya.Making it the 2nd African Country where its citizens can send and receive money via Paypal only after South Africa.
i know this will spur E-Commerce in Kenya.Hongera Paypal in the trust you have put on Kenya banking Industry.

Check This post
During the world cup period it was with much excitement that paypal announced they would add South Africa to the list of countries that they would enhance support for by enabling members to recieve funds to their paypal accounts.Kenya is now proudly on the same list and together with South Africa are the only two countries in Africa from which you can send and recieve funds to your paypal account.
For a list of which features are supported in which country you can visit their country list page here;

Kenya kwa sasa ndo hub ya Information and Communication Technology in Africa...hata South Africa ambao walionekana wamepiga hatua au Rwanda ambao wamewekeza sana katika ICT nafikiri bado hazijakuwa na wachakalikaji wakubwa.Kenya bado inaoneka itakuwa na future kubwa sana kwenye ICT!
 
Abdulhalim! Can you just let me know where my nonsense is? Mi nadhani nimeongea ukweli. Naomba unikosoe kwa hoja specific maana mimi nimejustify hoja zangu kwa mifano, kama niko wrong nitajie mfano niliokosea. Otherwise mi siyo nyang'au na CLUE pills ndo hizo nilizokugea (Ukweli nilousema), Wana JF watanitetea.
 
Sidhani kama huko sawa katika hili.Angalia implementation ya PayPal in South Africa...haitegemei kuwa na account ya bank huko marekani...kuna taasisi ya fedha inaitwa First National Bank ambayo imeshughulikia hili.Nafikiri changamoto itakuwa kuwa bado mfumo hauja-ruhusu matumizi ya Rand(dollar is still in use) otherwise implementation inaweza kuwafikia watu wa kawaida kabisa!
Link ya paypal kwenye post #1 inaelezea nini kinaweza kufanywa na mteja aliyepo SA na Kenya. Isome kwanza.
 
0D y r u replying my post a thousands times?? we kama ni mtz wala huko na haja (tena kubwa) ya kuanza kusema mimi ni mtz, maelezo yako tu yanaonesha unajua kwa details zote sijui mimba za ODM sijui hiyo ukichanganya na unavyobash tz unaonesha kwamba wewe ni nyang;au tu, na HUNA JIPYA. Nimeshasikia arguments za kijinga na kipumbavu kama hizo a millions times before..I just wonder kama kenya ingekuwa na maendeleo kama US au Europe, nadhani mngeishiwa na maneno ya kujitapa au tungetoboka na mashkio..u nyang'auz r just pathetic.
 
Sorry kwa kujibu post yako mara nyingi. Nafanya hivi kwa sababu wewe ndo umeanzisha. Ukweli utabaki mimi ni Mtanzania (Nakubaliana nawe kuwa hakuna sababu ya mimi kulirudia hili). Jambo linalonisikitisha ni wewe kutumia lugha kali dhidi yangu (....kijinga na kipumbavu kama hizo....) badala ya kujibu hoja. Sikusudii kukushambulia wewe kama mtu binafsii kwani sidhani hii ndiyo nia ya mjadala huu. Mimi kufahamu habari za ODM ni matokeo ya ufuatiliaji wangu. Je nikisema kuwa wimbo wa Truly Madly Deeply wa kundi la Savage Garden ulikaa juu katika chart za dunia kwa wiki 52 nitakuwa nimekuwa mtu wa Australia? Naomba ukanushe au unisahihishe kama takwimu nilizotoa kuhusu nchi yetu ni za uongo. Kosoa japo takwimu moja halafu utaje ukweli unaoujua.

Eid Mubarak Abdulhalim.
 
so it is kenya's fault that we now have PAYPAL??? i dont get the trashtalking directed toward kenya
 
Sorry kwa kujibu post yako mara nyingi. Nafanya hivi kwa sababu wewe ndo umeanzisha. Ukweli utabaki mimi ni Mtanzania (Nakubaliana nawe kuwa hakuna sababu ya mimi kulirudia hili). Jambo linalonisikitisha ni wewe kutumia lugha kali dhidi yangu (....kijinga na kipumbavu kama hizo....) badala ya kujibu hoja. Sikusudii kukushambulia wewe kama mtu binafsii kwani sidhani hii ndiyo nia ya mjadala huu. Mimi kufahamu habari za ODM ni matokeo ya ufuatiliaji wangu. Je nikisema kuwa wimbo wa Truly Madly Deeply wa kundi la Savage Garden ulikaa juu katika chart za dunia kwa wiki 52 nitakuwa nimekuwa mtu wa Australia? Naomba ukanushe au unisahihishe kama takwimu nilizotoa kuhusu nchi yetu ni za uongo. Kosoa japo takwimu moja halafu utaje ukweli unaoujua.

Eid Mubarak Abdulhalim.

Takwimu ni kwamba Kenya ni nchi maskini kama Tz, hakuna tofauti kama hiyo unayojaribu ku-insinuate. Hivo nakerwa sana na watu kama wewe na fikra zenu haba ndo maana nikasema Kenya ingekuwa imeendelea kama mataifa ya dunia ya kwanza hakika tungepata tabu sana na majigambo.

Hizo sijui paypal, sijui google is only the matter of arrangements kufuatana na investments za mzunguz, historical, economical na factors zao nyingine ambazo huezi kuzijua na utaishia kukisia tu na kukosea.

I would care less kuongelea Kenya this Kenya that, Tz is country of BIGGER PROSPECTS economically. Hivo inatakiwa kama ni kujilinganisha ijilinganishe na the best, sio nchi ambazo bado zipo kundi lilelile na sisi.

Sasa kwa kusema hayo nadhani points zangu zimeeleweka.
 
Hehehehe

(Pua langu limeanguka sakafuni kwa kicheko)

Takwimu pia zaonyesha GDP ya kenya is bigger than that of Tz hata ingawa TZ ina watu wengi (na pia mali ghafi) kushida Kenya. Takwimu zaonesha ya Kuwa Kenya ni mojawapo ya nchi zinazotengeneza bidhaa nyingi zinazouzwa TZ, na pia Kenya ilitwaa nafasi ya kwanza kutoka kwa Muungano wa Uropa kama Nchi iliyo na mauzo mengi sana katika nchi zote za COMESA, jambo la kushangaza ukizingazia COMESA iko na washiriki kama vile Misri na Libya. Jambo linalohuzunisha kabisa kuhusu TZ ni kwamba WaTZ (kama vile mshiriki mmoja wa gumzo hizi kwa jina Abdulhalim) wanapendelea sana makampuni inayomilikiwa na wazungu/mabeberu kutoka Afrika Kusini kuliko wanavyodhamini makampuni ya Waafrika kutoka Kenya, hata ingawa Watanzania asilimia tisaini kwenda juu ni waafrika (weusi) kama wakenya. Ubaguzi ni wa nini? Hata mazungumzo haya yanathibitisha nonavyoyasema. Hata ingawa mada na kielelezo kwa ufupi tunajulisha ya kuwa PayPal zimeshirikisha nchi mbili kutoka Afrika katika mtandao wao wa kupokezana hela, mwenzangu hapa anaonekana kukerwa sana na kushirikishwa kwa nchi jirani ya kenya, wala hajasema jambo lolote linaloizusha hadhi vyovyote nchi tukufu ya Azania, ama ukipenda Afrika Kusini.

Mimi sisemi ni kitu mbaya kuwa mzalendo, lakini sisi waafrika twafa kujua adui mkubwa sana kwetu ni waafrika wenzetu ambao hawataki kuona tukijiendeleza kimaisha, kama huyu mwenzangu hapa (kama yeye ni mwafrika halisi sijui). Mimi kama Mkenya (ama Nyang'au, jina tujulikanalo nalo huko TZ) nitafurahia sana Nchi ya TZ ikipita nchi yangu ki-Uchumi, kwa maana naelewa kama mwanabiashara naweza pata wateja wengi sana huko ambao watakuwa na uwezo wa kununua bidha zangu.
Watanzania nao wafaa kufurahia hatua Nchi ya Kenya imechukua kuimarisha Uchumi wao maanake wananchi wote wa Afrika mashariki watanufaika na namna hii au nyingine.
 
Takwimu ni kwamba Kenya ni nchi maskini kama Tz, hakuna tofauti kama hiyo unayojaribu ku-insinuate. Hivo nakerwa sana na watu kama wewe na fikra zenu haba ndo maana nikasema Kenya ingekuwa imeendelea kama mataifa ya dunia ya kwanza hakika tungepata tabu sana na majigambo.

Hizo sijui paypal, sijui google is only the matter of arrangements kufuatana na investments za mzunguz, historical, economical na factors zao nyingine ambazo huezi kuzijua na utaishia kukisia tu na kukosea.

I would care less kuongelea Kenya this Kenya that, Tz is country of BIGGER PROSPECTS economically. Hivo inatakiwa kama ni kujilinganisha ijilinganishe na the best, sio nchi ambazo bado zipo kundi lilelile na sisi.

Sasa kwa kusema hayo nadhani points zangu zimeeleweka.

seriously dude, JUST CHILL!!!!
 
Mimi kama Mkenya (ama Nyang'au, jina tujulikanalo nalo huko TZ) nitafurahia sana Nchi ya TZ ikipita nchi yangu ki-Uchumi, kwa maana naelewa kama mwanabiashara naweza pata wateja wengi sana huko ambao watakuwa na uwezo wa kununua bidha zangu.
Watanzania nao wafaa kufurahia hatua Nchi ya Kenya imechukua kuimarisha Uchumi wao maanake wananchi wote wa Afrika mashariki watanufaika na namna hii au nyingine
.

you hit the nail on the head with that one right there! most of these fruties(only tanzanians that trash talk kenya) dont understand is that if KE or TZ or UG gets rich, the whole regions benefits. nways
 
this is definitely one of the best things to happen to Kenya in a long while. i see the fruits of the long hard work that people have put in. This issue has been pushed by many people because it means that kenyans now can trade on the internet. I myself havree been waiting for a while. thatnk to the hard work of the Communications PS Bitange Ndemo, it is he that drafted the communication bill that enable prosecutuion of cyber crime. it is the lack of this law that keep pay pal away from many African cpuntries. the internet and ICT provides enormous opprtunities fo African and im gald its starting right here in Kenya.

What i fail to understand is why such a good thread with such exciting news turns to be a place to bash Kenyans. Tanzanians shgoulb be asking themeselves how the can take advantage of this instead of throwing insults............some Tanzanian need to educate me on this!!!
 
Hela ya kenya iko stable kwa kipindi kirefu sana wakati yetu inapaa against USD.
Kuna mazuri ya kuiga toka Kenya,does that mean lazima TUZIPIGE ili kuchukua hatua kama ambazo kenya wamechukua?kama kubadilisha katiba
 
Takwimu ni kwamba Kenya ni nchi maskini kama Tz, hakuna tofauti kama hiyo unayojaribu ku-insinuate. Hivo nakerwa sana na watu kama wewe na fikra zenu haba ndo maana nikasema Kenya ingekuwa imeendelea kama mataifa ya dunia ya kwanza hakika tungepata tabu sana na majigambo.

Hizo sijui paypal, sijui google is only the matter of arrangements kufuatana na investments za mzunguz, historical, economical na factors zao nyingine ambazo huezi kuzijua na utaishia kukisia tu na kukosea.

I would care less kuongelea Kenya this Kenya that, Tz is country of BIGGER PROSPECTS economically. Hivo inatakiwa kama ni kujilinganisha ijilinganishe na the best, sio nchi ambazo bado zipo kundi lilelile na sisi.

Sasa kwa kusema hayo nadhani points zangu zimeeleweka.

That's not true, Tanzania has always been Rich, VERY RICH! Don't try to bring it the other way, the difference is that Kenya is utilizing the little it has.
 
Sioni cha kufurahia sana hapa. Kimsingi, kampuni nyingine ya kimarekani inatumika kutuma hela kati ya wakenya (for the most part), na kuwatoza ada kwa huduma hii.

Ningeona vizuri zaidi kama kampuni ya Kikenya ingefanya hii kazi.

Ni sawa kusema hili linaonyesha umadhubuti wa uchumi wa Kenya, kwa maana ya kwamba wakubwa wameona kuna kivutio. Lakini kushangilia hili ni sawa na kusema "Ona shamba langu lilivyo na mavuno mazuri, hata bwana mkubwa anataka kuja kuvuna kwangu"

Hii mentality ya kuabudu weupe wenzetu wanayo sana, hata pale wanapopigwa bao bila sababu huku njia mbadala zipo.

Wako wapi kina Ayisi Makatiani wa leo ? Kenya kama ina uchumi mzuri inaweza kuanzisha paypal yake yenyewe na kuwatoa hawa wamarekani kwenye hii biashara, na pengine hata kuanza kulinyenga soko la majirani zake kama Tanzania na Uganda .

That will be a better look for them.

Jiggah angewaambia "You are only a customer, walking in the presence of hustlers" what's to be proud of in that ?
 
Of course it would have been better if Kenya or Tz would have it's own Paypal as you say, but currently there are a lot of Kenyans who work online for the US, and for a long time money transfer has been hard, in that, the process itself could eat half of your pay, but as you know many Online US firms support Paypal so much these days, that's why it's a relief for many Kenyans, in fact, in my opinion, guys are harvesting directly from the US economy as opposed to losing money to the US.
 
I hear what you are saying, basically you guys are making lemonade out of lemon, you can't stop farming because you don't have a tractor, you have to make the best of whatever situation you are in. And in the absence of a Kenyan paypal, a US paypal (presumably it reduces the Moneygram/ Western Union costs) makes a lot of sense. With the caveat that a Kenyan Coffee farmer can hardly pay his computer illiterate farm hands with paypal money.

The perception that "guys are harvesting right out of the US economy" is correct as far as Kenyans are earning out of the US economy, but my thinking is, paypal is still retaining a small chunk of the money Kenyans are harvesting out of the US economy.

The Senegalese have a better, albeit more informal system. If one Senegalese (a) in Dakar needs cash from another in New York (b) the NY Senegalese (b) would pay some social organization of Senegalese in NY, like a mosque based community, and this Senegalese mosque based community would record this entry with a sister Community in Dakar for the Dakar Senegalese (a) to withdraw money from the Dakar community.

Call it primitive international banking, but it is their own paypal, and the amounts changing hands are staggering. Ultimately one more American organization is kicked out of the equation and more money makes it to Dakar.

I can see why the Senegalese model could never work in Kenya, it is too entrenched in trust, a high sense of community and expect people to be honest . While I understand there may exist some uncalled for Kenya bashing here - and that is hardly my thing- I would not be far fetched in assesing that Kenya lacks in some of these Senegalese apects and therefore cannot aspire to have a national system based on this communal model.

For the Kenyans working online for the US ( does the example of a call center type of setup qualify here?) fundamentally I don't see why should they have to be charged at all if they have accounts with American banks.Say they have accounts with Citibank in Nairobi, then all that the American firms have to do in all fairness is to pay a sister Citibank branch in NY (in a more formal version of what the Senegalese are doing) in all fairness the interest being generated by the money being with Citibank should be more important than the transfer fee. But who said banking was fair, or even sensible ?

Kenyans working online shouldn't have to be charged for money transfer at all.
 
Naona sasa mnanichekesha! Paypal ni njia mojawapo tu ya kutuma na kupokea pesa wala sio indication ya nguvu za kiuchumi wa nchi husika. Kumbukeni kuwa hata kwa nchi ya Afrika Kusini huduma za Paypal zimeanza mwanzoni mwa mwaka huu na ni kwa kupitia benki moja tu ya FNB kwa hiyo kama unataka kutuma ama kupokea pesa kwa njia hii ni lazima uwe na akaunti ya FNB.

Ni mda mrefu tu wafanyabiashara za mtandaoni wamekuwa wakitaka hii huduma lakini sheria kali za nchi katika udhibiti wa mzunguko wa pesa especially kutuma pesa nje ya Afrika Kusini ndio zilikuwa kikwazo na wala sio issue kwamba Afrika Kusini ina uchumi mbovu!!.

Kumbukeni kuna huduma nyinginezo za kutuma pesa mtandaoni amabazo zinapatikana karibia nchi zote duniani na ni simple zaidi ya Paypal (Paypal wanataka lazima uwe na credit card kwa mtumiaji wa nchi nyinginezo ukiondoa US). Mfano mmoja ni huduma iitwayo Moneybookers ambapo mtumaji na mpokeaji wanatakiwa wawe na e-Mail address tu.

Hii dhana ya ukubwa wa uchumi na huduma za kutuma pesa za Paypal ni potofu!!!:focus:
 
Sioni cha kufurahia sana hapa. Kimsingi, kampuni nyingine ya kimarekani inatumika kutuma hela kati ya wakenya (for the most part), na kuwatoza ada kwa huduma hii.

Ningeona vizuri zaidi kama kampuni ya Kikenya ingefanya hii kazi.

Ni sawa kusema hili linaonyesha umadhubuti wa uchumi wa Kenya, kwa maana ya kwamba wakubwa wameona kuna kivutio. Lakini kushangilia hili ni sawa na kusema "Ona shamba langu lilivyo na mavuno mazuri, hata bwana mkubwa anataka kuja kuvuna kwangu"

Hii mentality ya kuabudu weupe wenzetu wanayo sana, hata pale wanapopigwa bao bila sababu huku njia mbadala zipo.

Wako wapi kina Ayisi Makatiani wa leo ? Kenya kama ina uchumi mzuri inaweza kuanzisha paypal yake yenyewe na kuwatoa hawa wamarekani kwenye hii biashara, na pengine hata kuanza kulinyenga soko la majirani zake kama Tanzania na Uganda .

That will be a better look for them.

Jiggah angewaambia "You are only a customer, walking in the presence of hustlers" what's to be proud of in that ?

Ningetaka ukumbuke ya kuwa, Kenya tayari iko na mfumo wa kipekee wa kupokezana pesa ujulikanao kama Mpesa, na bila shaka WaTz wengi wanafahamu huo mfumo kwa sababu umetekelezwa huko kwenu na kampuni ya Vodacom.

Juzi tu huu mfumo ulitambuliwa nchini South Afrika ambako pia unaendelezwa na Vodacom.

Bao haujafikia kiwango ya PayPal, lakini twaelekea huko inshalaah. Tayari Mpesa inaweza kutumiwa kutuma pesa kutoka nchi kadhaa za ngambo. Wakenya walioko Uganda pia wanaweza kupokea pesa kutoka kwa ndugu zao walioko Kenya.

Kuna mifano kadhaa ya kupokezana hela inayochipuka nchini Kenya na pengine wengi hawajaisikia kufikia sasa hivi, kama vile e-pesa.info, Pay-zunguka, mobilpay nk.

Ndugu yangu landa ungetaka kubadilisha msimamo wako na uunge mkono mbinu hizi ambazo zimedinduliwa na waafrika wenzako
 
Back
Top Bottom