After Doctor's Strike Kwisheney jioni hii ya leo tukapate wapi moja bariiidiiiiiii!

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Karibuni mimi nitakuwa kwenye viti virefu pale samaki samaki mlimani city...nijipatie moja bariiidi ili kichwa iweze tulia...aliyekubali hii offer yangu anipm ambaye hapati moja baridi hana nafasi sichagui jinsia...
 
Samaki X 2 pale hamna kusikilizana pale inabidi upige kelele ndiyo mtu akusikie. Kama unaweza sogea Brajec savei!
 
tuko mliman city bia mbili tatu then movie 3D ili tuchanyikiwe kabisa kwa mwanga wa screen.
 
duh....mimi niko hapa chicken hut.....ngoja nisogee....
jamani nitawajuaje....?
mi nimevaa top ya rangi ya chenza......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom