After 7 long years, Brad and Angelina to tie the knot.........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
[h=1]Brad and Angelina to marry[/h] No date set yet, but actors Pitt and Jolie declare intention to marry again because of 'pressure from the kids'

angelina-jolie-brad-pitt--008.jpg

Angelina Jolie and Brad Pitt, who confirmed rumours that they are to remarry. Photograph: Pascal le Segretain/EPA

Jisomee mwenyewe................



[h=1]Brad and Angelina to marry[/h]
 
angalau hawajakurupuka.yalisemwa ya kusemwa,hawakuachana.kwa miaka 7 wameshajuana vya kutosha

Kisukari wewe ni muumini wa come and stay......nini?
 
cartura kwa nini unabaini hivyo ........na hawa ndiyo wamejizatiti kufanya kweli........

let's wait and see... tatizo la hawa celebrities wa majuu ni kutotofautisha maisha yao halisi na maigizo; huyo angelina keshaolewa mara tatu, brad yeye keshaoa mara mbili... unaweza kutegemea ndoa ya kudumu hapo kweli kama siyo yaleyale ya akina kim kardashian?
 
Hawa wasanii wengi wao ni wajinga na wapumbavu tu. Kazi yao ni uzinzi tu. Kama hawa wamesema hawataoana mpaka ndoa za mashoga na wasagaji zihalalishwe. Sasa washazini miaka 7 na watoto juu. Mi nadhani ni wafuasi wa shetani hawa. Devil worshippers.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom