AfroPod - Mazingatio ya Password

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Katika kuhakikisha tunafikisha maarifa kwa jamii katika njia mbalimbali,timu nzima ya AfroIT imeanza kutengeneza Poscast zinazohusu masuala ya ICT,huu ni mwanzo ambapo siku zinavyosonga tutakuwa na mambo mengi tofauti huku tukiwashirikisha wadau wengi zaidi kutoka katika vitengo mbalimbali ambapo ICT ina mchango mkubwa.

Kushiriki kwenye Podcast tuandikie kwenye podcast@afroit.com . Kusikiliza bofya play kama inavyoonekana kwenye picha





Kwa maoni,michango na mengineyo tembelea HAPA
 

Attachments

  • AfroPod.jpg
    AfroPod.jpg
    8.8 KB · Views: 105
Back
Top Bottom