Afrika yule mtunzi na muigizaji wa maigizo ya kivuli,utelezi,mkaguzi afariki dunia.

Bendera ya Bati

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
279
363
Yule yanki aliyetunga maigizo ya kivuli,utelezi,na sasa mkaguzi linaloendelea kuoneshwa na kituo cha televion cha ITV amefariki dunia.preliminary info.zinasema chanzo cha kifo cha kijana huyo ni ajari ya gari.Labda mwenye habari zaidi atujuze.
 
Anaitwa nani?? Alazwe pema peponi....amen!
 
Huyo kaka alipata ajali pale kimara resort kituoni siku ya jmosi jioni baada ya kudondokewa na container la mizigo toka kwe gari la mizigo. Na walifariki watu watatu akiwemo huyo thomas senzighe.
 
Back
Top Bottom