Afrika nzima hakuna vyuo vikuu vilivyopo ni sekondari tu.

Ngoja UD na SUA waje wajitetee humu. Hawatambuliwi duniani lakini wana ranking yao ya Africa ndiyo inayowatambua. Mwanafunzi anasoma miaka mitatu hajuhi hata online journal moja!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Kama havitambuliwi...basi mama asha rose migiro asinge kuwa deputy secretary general wa UN..Cus ni zao la elimu ya tz...acha kuposti uongo.
 
mi nafikiri ungekuwa/wangekuwa makini kutueleza ya kwamba havitambuliwi katika aspect ipi? Kwa maana kuna wataalamu wengi wanafanya kazi huko nje tena wakiwa zao la elimu ya vyuo vikuu vya tanzania, kuna orodha ndefu sana ya wakuu mbali mbali wa idara ktk vyuo vikuu huko ulaya ambao zao lake ni vyuo vikuu vya tanzania. Kuna mfumo wa wanafunzi wa ulaya, amerika, asia kuja kusoma vyuo vikuu vya tanzania na hupata shida sana na ugumu wa masomo yatolewayo hapa tanzania na isingekuwa upendeleo wanaopewa hawa jamaa na kusahihishiwa kama wabongo waote wangekuwa wana fail coz ttunasoma nao na tunaufahamu uwezo wao darasani! Mi siipingi hoja yao na wala sijaikubali mpaka waseme ni katika aspect ipi wanaoikusudia?
 
Hii kwa mujibu wa takwimu za kiulimwengu. Source: BBC Swahili - Habari - Vyuo Vikuu Afrika havitambuliwi
nadhani tupate takwimu sahihi ingawa vyuo vingi afrika vina upungufu wa vitendea kazi,
mfano chuo kama ud au udom wanafunzi wanajifunza kutumia computer kwa kuona kayk projector halafu kozi imeisha,jamaa anatoka anfahamu mouse lakin mwambie right click kwa mouse aliyoiona kama picha ni balaa tupu:ndio nchi zetu bwana maslahi ni politician
 
Mbona kuna programu za kubadilishana wanafunzi na waalimu baina ya vyuo vikuu vya tanzania (afrika) na vyuo vikuu vya ulaya na america na kwingineko duniani?
 
nadhani tupate takwimu sahihi ingawa vyuo vingi afrika vina upungufu wa vitendea kazi,
mfano chuo kama ud au udom wanafunzi wanajifunza kutumia computer kwa kuona kayk projector halafu kozi imeisha,jamaa anatoka anfahamu mouse lakin mwambie right click kwa mouse aliyoiona kama picha ni balaa tupu:ndio nchi zetu bwana maslahi ni politician

Ni kweli mkuu,ila c kwa kiwango hiko!! Watz c vilaza kiasi hiko bana,duh!
 
Back
Top Bottom