Afrika na Waasi: shida i wapi?

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
za jioni wakuu, poleni majukumu. Mda huu nina shida nahitaji ufafanuzi.
Hivi ni Afrika pekee inayokuwa na waasi? Shida iko wapi? AU ama UN hawawezi kuingilia?
Guinea Bissau shida!
Goodluck Jonathan anahaha na Boko Haram.
Joseph Kabila nae hana amani. Uganda nako shida. Mali nako wanaweka presha! Hv kuna shida gani Afrika? Kwan mataifa duniani hayajui kinachoendelea?
 
kwa watu ambao wanapenda maendeleo ya wananchi acha tu viongozi wazembe waendelee kuondolewa. Mfano mali jamaa wametoa reason ya kumuondoa rais baada ya kuona yuko weak. Guinea nyingine nayo kulifanyika mapinduzi aafu utawala wa raia ukarudi. Hamuwezi kuendelea kuwa na marais kama jk aafu mnawafurahia. Akili yake inafikiria misaada na kuacha rasilimali zinachukuliwa bila manufaa ya wananchi, deni la nchi linaongezeka lakini hakuna kilichofanyika kwa maendeleo ya wananchi. Fedha zote wanakopa zinaishia kwenye mambo ya kipumbavu tu! Kila siku wanaingia mikataba ya ajabu pamoja na kelele zote wanazopigiwa. I wish wanajeshi wetu wangekuwa wanajitambua na kutetea wananchi kutoka kwa hawa wezi.
 
Bado tu hapa tz, wananchi tumechoka na serikali ya kidhalimu ya ccm.
Nasisi tunaomba hizo silaa tuanze kazi...
 
Mali nliwapenda. Ila sasa jeshi limekabidhi serikali lakini kuna waasi bado wanataka na wao waichukue nchi.
Kwani ni mara ngapi kumetokea threats za kuichangmsha serikali hapa?
Nakumbuka kipindi cha Mwinyi wajeda walitaka kumletea soo mzee Mwinyi, sema Nyerere akawabeg, afu yeye ndo akamstua Mwinyi ili awatendee fair hawa wazee wa kazi.
 
Back
Top Bottom