Afrika na demokrasia feki

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
375
Hakuna kiongozi wa Afrika aliyeifahamu na kuifanyia mazoezi tafasri halisi ya DEMOKRASIA, kama yupo basi kiongozi huyo ameifanyia mazoezi kinadharia na hakuruhusu imugharimu, hivyo mbinu za kuidhorotesha ni siraha kwake! Nyakarungu 2012
 
Wewe ni mnafiki tu! hata Kiswahili hujui siraha ndo nini sasa? Kamati kuu nzima isione unachoona wewe? unataka kufurahishwa wewe tu? Wewe una matatizo ya akili! toa upimbi wako hapa!
 
Leo ndio nimejua Nyakarungu hafai kabisaaaaa! umetukana viongozi wote Afrika eti hawajui! wewe unajua?
 
Wewe ni mnafiki tu! hata Kiswahili hujui siraha ndo nini sasa? Kamati kuu nzima isione unachoona wewe? unataka kufurahishwa wewe tu? Wewe una matatizo ya akili! toa upimbi wako hapa!

Mkuu kosa lake ni nini?Hakukuwa na haja ya kumtukana mleta mada
 
demokrasia anayo Makinda na wenyeviti wote , lusinde, wassira na migullu bila kuwasahau waropokaji wao nape na mukama , vibarua wao Polisiccm
 
Back
Top Bottom