Africa's First Ladies...nani Zaidi?

Nigeria 1st lady - Hajia Turai yar'dua (the one with a black head scarf)
f_l_20_20visit_20school_2c_20_20_20_20_20_20_20akwa_20ibon_20g__20wife.jpg

Sierra Leone 1st lady - Mrs Alice Koroma
sl_first_lady.jpg

Senegal 1st lady - Viviane Wade
viviane_wade.jpg

Gambia first lady - Zeinab Jammeh
firstlady2(1).jpg
 
eeeeh bwana ehh... First Lady wa Gambia aminia... no wonder husband ana-claim he can cure aids... Dont kno about brains lakini on principles of beauty alone... hand down she takes the crown....
 
eeeeh bwana ehh... First Lady wa Gambia aminia... no wonder husband ana-claim he can cure aids... Dont kno about brains lakini on principles of beauty alone... hand down she takes the crown....

Pole sana Only if you know the story behind her............. Huyu bibie ni Mmorrocco alimtoa mke mkubwa kwenye throne yake na akaolewa na Rais wa Gambia. Akafanywa 1st lady. Mke mkubwa akapewa talaka tena zile za chap chap za kiislamu. Haijapita muda Rais akaanza ku-cheat na yule yule mke mkubwa na inasemekana bibie Zeinab kakimbilia kwao Morrocco na Rais anataka kufunga ndoa tena na mtalaka wake wa mwanzo. Shame it is???
 
Mrs kabila anaonekana vizuri hapa
kabila%2B3.jpg

Uliyemuulizia 1st lady wa Liberia sasa unataka utani........... or maybe first husband? Mbona alishafariki siku nyingi hata hivyo walipeana talaka. so he is kind of late ex-husband.
 
Pole sana Only if you know the story behind her............. Huyu bibie ni Mmorrocco alimtoa mke mkubwa kwenye throne yake na akaolewa na Rais wa Gambia. Akafanywa 1st lady. Mke mkubwa akapewa talaka tena zile za chap chap za kiislamu. Haijapita muda Rais akaanza ku-cheat na yule yule mke mkubwa na inasemekana bibie Zeinab kakimbilia kwao Morrocco na Rais anataka kufunga ndoa tena na mtalaka wake wa mwanzo. Shame it is???

Yes awali ni awali, hakuna awali mbovu!
 
hahahahahhaha!! Pundit!! Niko hoi kwa kicheko. Especially ukizingatia the way the world is reacting to her husbands preseidency. Hata akiwa mzuri ataonekana mbaya tu!!

Did you know here Ex-husband has been given a governmental position in some embassy abroad and he was honored by government. Imagine it, she was there during the whole ceremony!!!
 
Jeannette.jpg

Jeannette Kagame - Rwanda!​

Bw. Kiroboto sema basi...picha hio super!!!!!!

Ab-tichaz,nilikuwa nacount point,ila nimeamua kugawa kulingana na age,let start with watu wazima,mie nimempa point zote mama mandela kule,upande wa huu umri wa walio wengi,mie nasema mama kagame,maana ukimuona tu ,walahi kama umekamilika,hata ukiwa na umri kama huu wangu mie mwana wa msolopa basi denda hilo,pia nimekubali mambo ya mali akifatiwa na mama msanii(kikwete)
 
Babu naona kweli tuko pamoja maana hio line-up ni kama yangu japo mama
Kikwete kanimaliza. The Mandelas are in a class of their own...nimewapa legendary status.

Mkewe Kagame nadhani sina la kuongeza maana her beauty speaks for itself.
 
Nimempenda sana Mama Kibaki, pili naona Mke wa Museveni sasa anaanza kufanana na Mume wake, Mama Mbeki anaonekana kama wa Kibosho!
 
Back
Top Bottom