African union tumeni majeshi zaidi Somalia

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Al shabab wameua wanajeshi wa AU huko Mogadishu mbona nchi za Afrika Zina suasua kutuma majeshi Somalia? Where is the pan africanism of Nyerere and Nkurumah?Ni mpaka lini waafrika tutasubiri tuwe bailed out na wazungu.

South Afrika, Nigeria wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom