African queen

Jamani!!! jamani!!! kuna wanawake wamependelewa na mola naomba kuuliza swali mkuu hivi huyu anaenda haja kubwa kweli?
 
Wanawake wazuri wa asili namna hii inatakiwa wawe na free pass kwenda mahala popote duniani. na kama mimi ningekuwa kiongozi wa tz hao wangekuwa free entry.Maana wakizaliana tz baada ya 10 years, mabinti wote bongo ni bomba, na utalii ungeongezeka
 
Huyu mimi labda niwe nimepiga bia mbili, lakini nikiwa macho makavu hata anipe laki sitaki ...............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom