African Barrick’s Profit More Than Doubles, Cash Costs Rise

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
African Barrick’s Profit More Than Doubles, Cash Costs Rise
2011-10-20 06:32:19.555 GMT

By Thomas Biesheuvel
Oct. 20 (Bloomberg) -- African Barrick Gold Plc, the
largest producer of the metal in Tanzania, said third-quarter
profit more than doubled as output increased and gold prices
rose, even as mining costs increased.

Net income climbed to $102.1 million in the period from
$39.9 million a year earlier, the London-based company said
today in a statement. Attributable gold output advanced 11
percent to 182,401 ounces.

Gold producers’ profits have been buoyed by record prices
for bullion as Europe’s sovereign-debt woes spur demand for
precious metals as a haven. Gold for immediate delivery averaged
a record $1,706.38 an ounce in the third quarter, compared with
$1,227.73 an ounce a year earlier.
 
Mkuu unajua kampuni ya kutengeneza chibuku inalipa kodi kubwa kuliko mgodi tajwa hapo juu!
 
hata NMB benki ya walala hoi imewapiga gap barric. halafu eti jana kikwete amepewa degree ya heshima ya sheria kwa madai kasimamia sheria za nchi. nikipata NGOHO, NDICHA BHOTSE....kikwetu hicho
 
Hapa nawangojea wanazi waje na data
Nape
FFoxy
Mbopo
Ritz
Mwita25 huyu ameongoka sasa lakini bado
Ngoda Z
Mzee
ongeezeni majina hapa chini mnawajua
 
African Barrick Gold Plc, the
largest producer of the metal in Tanzania, said third-quarter
profit more than doubled as output increased and gold prices
rose, even as mining costs increas
ed.

.

kwa bahati nzuri wamesema wao sisi hatujasema, kwa hiyo hatuwasingiziii. watendaji wa mkulo ie TRA, mtupe mrejesho, tumeingiza kliasi gani kwenye hiyo faida. msipofanya hivyo, mtahama office zunu mda si mrefu.

mstake kutufanya siye shamba la bibi
 
post yako imenikumbusha data niliyopewa na jamaa yanguanafanyia kazi mgodini geita.
alinambia kila siku ya Jumanne NA alhamisi, GEITA GOLD MINING(GGM) wanazalisha tofali 400 kwa siku hivyo kuzalisha tofali 800 kwa wiki na kwa siku 104 za mwaka, wanazalisha tofali 83,200.
Kila tofari ina uzito wa gramu 12,000
kila gramu moja ni tsh.65,000 kwa soko la ndani hapo hujapeleka ulaya wanakohitaji dhahabu kama binadamu anavyohitaji uhai/pumzi.
ukizidisha 83,200x12,000g=998,400,000grams kwa mwaka.
ukichukua grams 998,400,000x65,000=64,896,000,000,000/= pesa za kitanzania. mie sijui ni sh. ngapi kuzitamka, mtanisaidia.
ukikonvert kwa dolaa roughfly 1650 ie. 64,896,000,000,000/1650=3,933,090,909.909....USD, mtaniambia zinasomekaje kwa kiswahili.
USD 3,933,090,909.9
Watu wa kodi mje mtwambie tunapata kiasi gani kwa mgodi mmoja, kwa hesabu hiyo, hatujagusa migodi mingine iliyozagaa tanzania nzima.
Ni wazi kuwa, sisi ni matajiri, ila tumefukarishwa na CCM kwa sera zao mbovu, sheria dhaifu na viongozi waliotelekeza uzalendo wakaingia kujitajirisha wao wenyewe.

Kwa hesabu hii ya USD 3,933,090,909.91, nadhani zimezidi USD 102 million, 182.401 million na 1,706.38 walizojigamba kukwapua na kuwakumbusha TRA wana kazi ya kufanya .
 
KAMA HIZI TAKWIMU NI ZA KWELI......TUFWIRE NYAMBARA!

By the way Mh Ngereja na Malima juzi wallikuwa Arusha pale Ngurundoto kwenye mkutano wa kuhamasisha uwekezaji zaidi Tanzania kwenye sekta ya madini na gesi! Mkutano huo umeisha jana, pamoja na kwamba wanaharakati wanasitiza sera na sheria zilizopo sasa sio rafiki kwa mazingira na jamii inayozunguka migodi ya madini.
post yako imenikumbusha data niliyopewa na jamaa yanguanafanyia kazi mgodini geita.
alinambia kila siku ya Jumanne NA alhamisi, GEITA GOLD MINING(GGM) wanazalisha tofali 400 kwa siku hivyo kuzalisha tofali 800 kwa wiki na kwa siku 104 za mwaka, wanazalisha tofali 83,200.
Kila tofari ina uzito wa gramu 12,000
kila gramu moja ni tsh.65,000 kwa soko la ndani hapo hujapeleka ulaya wanakohitaji dhahabu kama binadamu anavyohitaji uhai/pumzi.
ukizidisha 83,200x12,000g=998,400,000grams kwa mwaka.
ukichukua grams 998,400,000x65,000=64,896,000,000,000/= pesa za kitanzania. mie sijui ni sh. ngapi kuzitamka, mtanisaidia.
ukikonvert kwa dolaa roughfly 1650 ie. 64,896,000,000,000/1650=3,933,090,909.909....USD, mtaniambia zinasomekaje kwa kiswahili.
USD 3,933,090,909.9
Watu wa kodi mje mtwambie tunapata kiasi gani kwa mgodi mmoja, kwa hesabu hiyo, hatujagusa migodi mingine iliyozagaa tanzania nzima.
Ni wazi kuwa, sisi ni matajiri, ila tumefukarishwa na CCM kwa sera zao mbovu, sheria dhaifu na viongozi waliotelekeza uzalendo wakaingia kujitajirisha wao wenyewe.

Kwa hesabu hii ya USD 3,933,090,909.91, nadhani zimezidi USD 102 million, 182.401 million na 1,706.38 walizojigamba kukwapua na kuwakumbusha TRA wana kazi ya kufanya .
 
Kwa hesabu hii ya USD 3,933,090,909.91, nadhani zimezidi USD 102 million, 182.401 million na 1,706.38 walizojigamba kukwapua na kuwakumbusha TRA wana kazi ya kufanya .

Mimi naomba nianzie hapo usd 3,933,090,909.91 kama wangetupa hiyo 3% basi tungepata usd 131,103,030,330.33 , Kwa Kiswahili sijuhi ni usd Billion 131 amabyo ni sawa na USD Tillioni 0.131
 
ukishamaliza hiyo, mapambano yaendelee ili tufike hata 49% ya faida ipatikanayo, tuone kama kutakuwa na matatizo ya bumu, mishahara midogo kwa watumishi wa umma, maisha ya wakulima kuimarika, uhifadhi wa mazingira, kwani tutatumia njia mbadala kupata nishati na uwezo utakuwepo
 
Back
Top Bottom