Si unawaona hao wanyama bado wapo hai hawajakufa?Kwani hapo wanyama wazima au wamekufa?
Kiafya sio vizuri kuwachukuwa hao wanyama namna hiyo kwanza wanaingia vumbi na vijidudu vya maradhi. Afrika kazi kweli ipo tunauwana wenyewe kwa wenyewe ahhhh wacha tu.
kwani hapo wanyama wazima au wamekufa?