Huyo employer atakua mbabaishaji na hajui principles za recruitment. Yaani kama anataka graduate wa Law atabeba poorly cooked graduate wa Mzumbe na kumwacha well baked graduate wa UDSM just because of where they went to school? Nafikiri the best approach ni kumchukua mtu kwa kuangalia merits(papers + how he responds to the interview questions) na sio kubeba tu mtu eti kwa vile hajasoma UDSM, that is nonsensical!
na kwa nini umebase kwenye Law? so you are proving kwamba law pekee ndiyo super UDSM? lakini kumbuka hata rais wako alikiri kuwa wanasheria wetu hawajui kuandaa na/au kusoma na kuielewa mikataba. Na wanasheria wengi wa serikali ni UDSM product for your info.
Uozo ni uozo tu ndugu. Kukiri udhaifu ni ushujaa. UDSM needs a major shift.