Africa???:mtu anaingia kwenye uongozi na mke, watoto, wajomba, binamus, marafiki, wajukuu nk

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Jamani kwanini Africa in particular Tanzania viongozi wanaingia madarakani na jamaa yake yote na marafiki? Je taifa hili na bara hili litaendelea kweli? kwani kiongozi akiweka wananchi wenye sifa, hao jamaa zao sii watafaidi pia pamoja na jamaa zake? kwanini mtu anakua na madaraka then anaanza kuangalia mkewe,Ndugu wa mke, watoto wake, na jamaa yake kwa ujumla kwa kuwapa vyeo? tutaondokana vipi na ugonjwa huu? mfano Kikwete amezungukwa na ndugu zake kila kona sasa mpaka walinzi ikulu????!!!
 
Japo sina uhakika na hayo ya ulinzi ila sababu kuu ni ulafi wa madaraka.Mtu anataka akiachia ngazi angalau awe na kijana wake sehemu ili apate pa kuegemea.It‘s only natural kwa watu wanaojua kwamba yanayowafanya wacheke leo sio haki wala sio mambo yanayoweza kuwalinda huko mbeleni...kwahiyo lazima wajiwekee uhakika wa kuendelea kuishi kwa uhuru na amani ya kupeana.
 
Yaani kuna huo ugonjwa kila mahali. Dr Slaa kampeleka mke halali bungeni, Lissu yuko na mkeo, Ndesamburo yuko na mkwe na mwanye, Zitto yuko na mama yake, jamani hiii ni hatari kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom