Africa Mashariki-Chuma ulete

nakuona

Member
May 4, 2012
19
9
Wote tunajua umuhimu wa Africa Mashariki, hasa ukizingatia kuwepo kwa rasilimali nyingi na rasilimali watu hivyo soko la
muungano huu laweza kuwa kubwa na lenye faida. Ili wajasiriamali wakitanzania waweze kushindana na wajasiriamali wengine katika Africa mashariki tufanyeje?

Ninamna gani sisi watanzania mbali ya kuanzisha biashara zetu hapa nyumbani Tanzania, tutaweza kwenda kuanzisha makampuni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi na kufanya chuma ulete( kukusanya haraka mali sehemu nyingine na kuileta Tanzania kihalali) zipi ni fursa za kutuwezesha kucheza haka kamchezo ka-chuma ulete? Je tunaruhusiwa kuanzisha makampuni sasa katika nchi yoyote ya Afrika Mashariki ... kama ndio wapi kwa kuanzia?
 
Hongera sana nadhani hata wewe ni mjasiliamali mzuri sana kama unapata mawazo ka hayo. NADHANI LINAWEZEKANA KUFUNGUA BIASHARA KAMA BRANCH YAKO AU KUSAJILI UPYA KAMPUNI HUKO
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako,basi hii iwe chachu kwa wajasiriamali wengine!
 
Back
Top Bottom