Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,314
- 10,775
Salaam wakuu!
Hili jambo limeshajadiliwa sana humu (kutokana na ile list ya kampuni zinazoongoza kulipa kodi n.k.), lakini serikali hii sikivu haikusikia. Sasa hawa Forum Syd (wazungu kutoka Sweden) wamefanya tafiti na kuona madudu hayo, labda itasikia; maana serikali yetu inasikiliza sana "wakubwa wetu".
Africa losing billions in tax evasion - Africa - Al Jazeera English