Africa: Kenya 'Becoming Economic Heartbeat of Continent'

Brother you are a genius!

So, Kenya is taking advantage of the poor vision of CCM to develop their own country and then dominate the region, in turn the Tanzanians who vote in CCM suffer at the hands of all the Kenyans who take the initiative to develop their own country while the Tanzanians who voted for CCM sit on their hands as Kenyans take advantage of CCM poor vision?

WOW!

You are this generations's Einstein!

Please read carefully what Mr.Ulukolokwitanga wrote, you might be missing an important message embeded therein -Gooday.
 
ndio maana huwa mnapigana! watu wakileta hoja mnajibu majigambo na kejeli.

Mkuu nilisha sema hawa jamaa wengi wao majigambo tu, lakini si wote - wachache wao ni wastaarabu na wanajua kuheshimu binadamu wanzao. Ni ajabu sana wanakuwa na an inflated view of their importance katika region hii ya East Africa, lakini wakianza kukatana mapanga wanakimbilia kutafuta watu weledi/wastaarabu kutoka mataifa mengine kuwasuruhisha, mtu ungetegemea labda majigambo yao yanaweza kuwasaidia kuishi bila ukabila na kupigana ovyo lakini wapi bwana! Mkuu jaribu kusoma magazeti ya huko-utakuta sijuhi Jeff Koinage kafanya nini, Raila hivi,GEMA vile eh utachoka na kuanza kuiombea kwa Mungu KENYA iwe na AMANI, mimi nilipo soma magazeti/blog za huko nilitishika sana Mkuu.

Kuna thread fulani niliwahi kuzisoma kwenye social network fulani wakati wanataka kupigana na Uganda kwa ajili ya kisiwa cha Migongo; mambo niliyosoma humo nilibaki midomo wazi. How can a mere mortal try to be bigger than his/her head - beats ME! Lakini wana saikolojia wanasema ukiona mtu anakuwa na majigambo na kajeli mara nyingi inatokana na inferiority complex at its ZENITH - wala hiyo hisikupe TABU Mkuu wewe waombee TU.
 
Mkuu, kwanza title yake niliona kichekesho sana - nikajuhiliza hivi hawa wenzetu wanajua kinacho endelea kwa majirani zao au wanafanya makosa kama yaliyo wahi kufanyika huko Amerika kwa muda mrefu, oh yes Wamerikani walikuwa na majivuno sana wanafikili dunia ni Amerika, wanakuja kushtuka wanakuta Uchina imekaribia kuwapiku kiuchumi, na actually Wachina wamewahi kuwapa Wamerikani msaada wa fedha mabenki yao yalipo yumba kiuchumi, sikusikia Wamerikani wanazungumzia tena mambo ya evil of COMMUNISM wako kimya! Wamerikani wakajikuta wanakumbuka kujifunika kshuka asubuhi! Ni vizuri Kenya kuzungumzia Vision 2030 ya nchi yao; lakini wasije wakabweteka wakafikili wenzao wamelala na kutoa impression as if nchi nyingine East Africa hazina vision yoyote.

Nilikuwa curious kujua ni nani ka andika makala hii - nakakuta jina la ISAIAH ESIPISU, mimi sijuhi huyu ni raia wa nchi gani unless makala yenyewe ilikuwa inakusudiwa kusomwa na Raia wa huko Kenya, lakini at least angefanya ka-utafiti kidogo kujua nchi nyingine katika Africa Mashariki wanafanya nini.

Hivi Kenya kuzalisha umeme wa 1.6GW kutokana na maporomoko ya maji (Hydro), 400MW kutokana na geothermal na 300MW kutokana na upepo, tukijumlisha vyanzo vyote hivyo Kenya iweza kuzalisha umeme wa capacity ya kufikia 2.3GW basi; hivi kweli capacity ya namna hiyo ndiyo inaweza kubadilisha Kenya kuwa "an economic powerhouse in the region."? Wakati Tanzania ina uwezo wa ku-generate umeme wa capacity close to a TERA WATTS.

Namshauri aliye andika makala hii kuhusu Kenya, ajaribu kufanya ka-utafiti kidogo kuhusu Tanzania na Projects za kuzalisha UMEME, kwanza anaweza kuanzia Steglier Gorge Hydro Project akimalizika itakuwa unazalisha umeme wa GW ngapi, pili Projects za kuzalisha umeme kwa kutumia upepo kule Makambako na Singida, Umeme unaotokana na Gas turbines - kumbuka Tanzania inaongoza kwa kuwa na natural gas nyingi sana na mitambo hii itakuwa nyingi sana, umeme wa kutokana na geothermal hatujauwekea maanani, lakini vyanzo vya nishati hiyo vipo vingi tu Tanzania, tukijumlisha Genarating capacity ya vyanzo vyote hivyo, Kenya doesn't even come a distant SECOND, kwa hiyo mambo mengine muache kuwa mnaweka CHUMVI mno.

Herein is the grand difference between Kenyans and Tanzanians; YOU TALK, KENYANS ACT! :bump2:
 
Kenyans, go ahead guys. Here in TZ only 20% of ppl have electricity in their homes...and ppl dont bother as are busy feeding this HUGE catapillar called CCM...
 
Bukyagandi stop whining, what is the capacity of electricty produced by Tz? When is your big dream taking off? Its worth to note theres a big corelation between electricty generation and economic development and the writer understands this point of confluence. The topic is in order but if you refute, matsuo made a pretty nice rendition. You can rerread it over n over again.
 
seriously ni hoja huna ama your response to humor weaned out? Sijui unajaribu kusema nini haswa. Fafanua
point niliyo maanisha ni kwamba title ya thread imesema kenya itakuwa economic heart beat ya continent lakini ndani maelezo yanazungumzia east and cetral africa sasa badala ya kutolea maelezo mnajichekesha!
 
arrogance! title na contents haviendani
Teh... teh.... teh.....
Mkulu just let it go.... don't take it serious.......

You need to think on the credibility of the source.... in the first place allafrica was very serious reliable source.... nilikuwa member na nimeandika article nyingi sana za mambo ya uchumi siasa, uwekezaji katika ardhi.... nikajiondoa kwa sababu walianza kuandika vitu vya ajabu.... nowadays is more or less a high traffic gossip blog ....... full of kenyans expressing their arrogance......

Na sasa na mimi naandaa article ya MRC jinsi wanavyo kandamizwa na serikali ya Nairobi.... Serikali ya Nairobi inavyonyonya raslimali ya watu wa Mombasa.....

The author of this article had done a mistake and has since edited accordingly; see the corrected article. Hope no more heat will be generated!

Hahahaha. Nilijua ni upepo tuu ambao utapita kama kawaida
 
Teh... teh.... teh.....
Mkulu just let it go.... don't take it serious.......

You need to think on the credibility of the source.... in the first place allafrica was very serious reliable source.... nilikuwa member na nimeandika article nyingi sana za mambo ya uchumi siasa, uwekezaji katika ardhi.... nikajiondoa kwa sababu walianza kuandika vitu vya ajabu.... nowadays is more or less a high traffic gossip blog ....... full of kenyans expressing their arrogance......

Na sasa na mimi naandaa article ya MRC jinsi wanavyo kandamizwa na serikali ya Nairobi.... Serikali ya Nairobi inavyonyonya raslimali ya watu wa Mombasa.....

Spot on Mkuu, arrogance zao zitakuja kuwa-cost dearly, MARK MY WORD.
 
Teh... teh.... teh.....
Mkulu just let it go.... don't take it serious.......

You need to think on the credibility of the source.... in the first place allafrica was very serious reliable source.... nilikuwa member na nimeandika article nyingi sana za mambo ya uchumi siasa, uwekezaji katika ardhi.... nikajiondoa kwa sababu walianza kuandika vitu vya ajabu.... nowadays is more or less a high traffic gossip blog ....... full of kenyans expressing their arrogance......

Na sasa na mimi naandaa article ya MRC jinsi wanavyo kandamizwa na serikali ya Nairobi.... Serikali ya Nairobi inavyonyonya raslimali ya watu wa Mombasa.....

Post links za hizo articles ulikuwa unaandika allafrica, judging from your posts and tone, I might not be surprised that they never publish/posted any of your articles on their site. hio article ya MRC utaiandika kwa site gani (michuzi?), nani ndio targeted consumers/readers, utafaidika nini au unaowaandikia watafaidika na nini? kama ni hizi incitement posts unaandikaga hapa jf unapeleka huko, nina uhakika pia nao watakutimua.

tupe links tusome articles zako Eliakeem, nina uhakika ntacheka sana.
 
Teh....teh teh....

Nikupe link ili nijulikane jina langu kamili....wewe kweli unashangaza......

kule hatutumii majina kama eliakeem au wewe smatta tunatumia majina halisi..... na wakenya wengi wanao andika article kule allafrica ni member hapa JF..... lakini si wewe smatta...
 
Haiwezi kuwa mimi, sidhani wanaweza kunilipa mda wangu nitakao tumia kuwaandikia, afadhali nipitishe mda wangu hapa jf. Lakini kama unaandika articles i'd more than love to read one of yours, seriously, with all the hate for other East Africa countries, what do you write?
 
Please try to emulate LIVEFIRE he speaks SENSE, your childish clowning around won't lead you anywhere. By the way how old are U?

I presume you are the bastion of sensibility and the supreme judge! Again, very rih coming from DR. Rotor Mouth.
 
Teh....teh teh....

Nikupe link ili nijulikane jina langu kamili....wewe kweli unashangaza......

kule hatutumii majina kama eliakeem au wewe smatta tunatumia majina halisi..... na wakenya wengi wanao andika article kule allafrica ni member hapa JF..... lakini si wewe smatta...

:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41: Einstein!
 
Please try to emulate LIVEFIRE he speaks SENSE, your childish clowning around won't lead you anywhere. By the way how old are U?

thanx for liking my sense of expression though i have to admit it was unexpected having 'all factors considered'. Big plus for you.
However, am not pitting for a litmus test esp to a fellow Kenyan with regards to content capacity. Mwembetayari is an established blogger and considering most of his articles, replies, idea construction and ability to express himself, i am inclined to think he is a worthy debator and i have developed utmost respect for the guy and this goes to the entire JF fraternity. Exchanges are normal, hence i dont expect my ideas to be yours but we have to agree to disagree and vice verca once in a while. Mwembetayari pardon me for dat.....not my style.
Have a good evening Mr Bukyagandi.
 
Haiwezi kuwa mimi, sidhani wanaweza kunilipa mda wangu nitakao tumia kuwaandikia, afadhali nipitishe mda wangu hapa jf. Lakini kama unaandika articles i'd more than love to read one of yours, seriously, with all the hate for other East Africa countries, what do you write?

Teh teh I'm not a hater of East African countries...... but have very strong distaste for arrogance and pompous.... always against those who feel they are better than others (while not), underrating or put down others..

Napenda nchi zote za Afrika na dunia ila sipendi wanaodharau wenzao..... Nimeandika makala nyingi za Afrika... na sasa nimehamia confidential africa... huku walau hatujavamiwa sana..
 
Back
Top Bottom