Africa, Beware of China

PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
While business with China may be of beneficial to Africa and SA in particular, no country should allow its foreign policy to be hijacked by a business partner. Stopping the Dalai Lama from attending the International peace conference in Johannesburg makes the whole conference meaningless. I mean, how can any peace initiative be achieved, if a business partner’s demands can block all your moral objectives?

How quickly has SouthAfrica forgotten its own struggle? Shame on South Africa, and shame on Africa (yes shame on Africa, kwasababu naamini TZ pia tungekubali kubururwa na China kama wangutuamrisha hivyo)!
 
Bado sijaelewa hapa, ina maana SA ndio wamemkatalia Dalai Lama kukanyaga SA?
 
My bad. Samahani, nime assume tiari unaijua hiyo story.
SA wamekataa kumpa visa huyo babu kwakuwa Mchina hangependelea hivyo. Pia, kuja kwake kutatia dosari kwenye the coming world cup.
 
Plackscale,
SA ni nchi huru, China halikadhalika. SA inachokiangalia sio kelele za international communities bali maendeleo ya uchumi. Swali, je, ni yupi mwenye kuifaidisha kiuchumi SA, Dalai lama au China kama nchi? kwa maoni yangu Dalai lama wa nini? kama kumpa visa ni ku-hurt china, bora anyimwe viza hana faida za kiuchumi kwa nchi ya SA.

Hivi ingekuwa TZ, tungeogopa na kumpa visa Dalai lama na tukagombana na nchi (china) ambayo inachangia kuendeleza uchumi kwa vitega uchumi vyake. Wenzatu wamelinganisha ujio wa Dalai lama kama una manufaa kiuchumi au la.
 
My bad. Samahani, nime assume tiari unaijua hiyo story.
SA wamekataa kumpa visa huyo babu kwakuwa Mchina hangependelea hivyo. Pia, kuja kwake kutatia dosari kwenye the coming world cup.

Kumbe sababu unazijua? Wewe/Sie ni nani wa kuwaamulia SA mambo yao? Mbona ya kwetu yanatushinda?
 
Biashara ya China na SA 2009 ni zaidi ya USD Billion 10 sasa Dalai Lama wa nini?

Dalai lama angeweza kushift attention ikawa Human Rights Tibet kuliko World Cup 2010 ambayo ndo madhumuni wa mkutano wa akina Tutu kwa sasa. Hiyo ndo hoja ya SA!

Asubiri baada ya World Cup 2010 anaweza kuja SA kila mwezi kama jinsi ambavyo ameshakuja kama mara tatu hivi!
 
Naam, pointi zenu nimeziona. Vidudu vya "haki za binadamu" vilinipumbaza.
Saanyingina nimuhimu kuweka maslahi mbele
 
Naam, pointi zenu nimeziona. Vidudu vya "haki za binadamu" vilinipumbaza.
Saanyingina nimuhimu kuweka maslahi mbele

Na wewe umeingia katika mtego ule ule wa kifisadi. Mafisadi siku zote ujali maslahi yao hawajali watu wengine.
Mnashinda mnapiga kelele katika thread nyingine dhidi ya watumishi wa umma wanaojali maslahi yao binafsi badala ya umma alafu hapa mnajidai kujali uchumi wenu na si maslahi ya watu wengine.
Kumbe likishakuwa suala la uchumi usigeuke kuangalia wengine Umh?
Shame on you:(
 
I think it is very hypocritical for some members to claim that the only thing that matters in the case of China adn South Africa is money and to hell with Human rights, lakini wengine tukisema elimu isiwe bure Tanzania tunaambiwa ni mafisadi.
I think that Planckscale has a point, very important point. South Africa is the country of Nelson Mandela, wengi wetu tuliamua kuumia na tuliboycott bidhaa za South Africa, mpaka mwisho hata Marekani waliwaboycott ili tuwalazimishe wazungu wawape haki sawa watu weusi. Sasa leo hii Black South African government imeshindwa kuonyesha solidairty with their brethens in Tibet, wakati ni wazi China inawanyima haki zao watu wa Tibet.
I agree, Planckscale, they cannot have double standards. If solidairty and sanctions were good for South Africa, it is good for China now. They should let the Dalai Lama attend the conference. If not then all attendees should just boycott because it is just hypocrisy and a farce!
 
Na wewe umeingia katika mtego ule ule wa kifisadi. Mafisadi siku zote ujali maslahi yao hawajali watu wengine.
Mnashinda mnapiga kelele katika thread nyingine dhidi ya watumishi wa umma wanaojali maslahi yao binafsi badala ya umma alafu hapa mnajidai kujali uchumi wenu na si maslahi ya watu wengine.
Kumbe likishakuwa suala la uchumi usigeuke kuangalia wengine Umh?
Shame on you:(

Mchukia Fisadi, sitakikumsemea mwenye hoja lakini nimeelewa kuwa hii ni sarcasm siyo kitu alichomaanisha literary.
Lakini hoja yako ni kweli kwamba kiongozi anapoamua kuweka maslahi yake mbele kazini lazima ataingia katika ufisadi....
 
Nimekupata mkuu. Shida yangu ilikuja tu nilipoona anayumbishwa kwa hoja za kifisadi na kudhani alikosea na karibu aungane na watoa hoja za kifisadi. Lakini tangu mwanzo alikuwa sahihi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom