Afisa Mtendaji Kata Ya Tandale Matatani

deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
379
84
Taarifa nilizozithibitisha muda huu ni kwamba Afisa Mtendaji Kata ya Tandale, anayejulikana kwa jina la Katula, ameng'ag'aniwa na vijana wanaodai kulipwa haki zao kwa ajili ya semina ya zoezi la sensa. Vijana hao ambao inasemekana wanadai hela zao hizo ambazo ni 245,000/- kila mmoja, yaani 35,000/- kwa kila mmoja kwa muda wa siku saba. Inasemekana vijana hao walimkwida na kumvua shati lake la kaunda, na alibakiwa na 'slinglet' na kuanza kumburuza kuelekea Wilayani Magomeni toka maeneo ya shule ya sekondari Kambangwa. Naendelea kufuatilia.
 
Jamani huyu jamaa inasemekana ana watu wake wa 'mtaani', lakini Afisa wa Sensa aliwahi kuuliza 'Walimu wako wapi?', hivyo ilibidi wachomekwe walimu kadhaa ili kuua noma, sasa naona anajaribu kuwachinjia majini hao walimu na wengine ili mara wakikata tamaa, awarudishe watu wake. Habari nilizozipata asubuhi hii ni kwamba vijana walim'buruza toka Kambangwa K'ndoni mpaka ofisi za wilaya ya K'ndoni, Magomeni akiwa na suruali tu.
 
Kama vipi wamuue ili iwe fundisho kwa wapumbavu wengine kudhulumu haki za watu wanyonge maana haiwezekani mtu anakua jasiri kuwaibiwa wenzake kirahisirahisi tu huu ni wazimu
 
Back
Top Bottom