Afisa misitu

Mchina,Mzungu na Mbongo walitaka kuonyeshana ukali wa teknolojia zao Mzungu aliweka earphone wireless akitumia Bluetooth kuckiliza sim na nyimbo Mchina alikuwa ana saa ila inafanya kazi kama simu Mbongo akaumiza kichwa afanyaje ili naye aonyeshe yake!Akaenda chooni,aliporudi akarudi uchi huku amening'iniza toilet paper kwenye ******,wazungu wakaona huyu katuzidi akili,wakamuuliza hii nini? Akawajibu hapa natuma fax

huyu mbongo ni kabila gani?
Nahisi kama ni m.....
 
hehehehe mkuu umenikumbusha kipindi nasoma walinipa jina la mzee wa FAX.......mjini shule!


mkuu walikuwa wanakuita mzee wa FIX na sio FAX....inaonyesha ni jinsi gani ulikuwa mwongo.....a.k.a mzee wa FIX!!
 
Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti ya jamaaa kukagua.jamaa akamwambia asiingie sasahiv . Afisa akatoa kitambusho cha kazi." We ni nani wa kunizuia? kwa hiki kitambulisho ,hakuna wa kunizuia nisifanye shughuli zangu!" Jamaa akamfungulia geti.
Baada ya muda jamaa akamuona afisa akifukuzwa na nyuki huku akipiga kelele. "Mama nakufaaa!Nisaidie nyukiiii! wananiuaaa!!!"
Jamaa akamwambia , " WAONYESHE KITAMBULISHO"!!

Saizi yake mkuu ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom