mfichuamaovu
New Member
- May 10, 2012
- 1
- 0
Mkuu kwanza nakupongeza sana kwa kupiga mzigo wa ukweli. kwa kipindi kifupi tangu ufike huku tumekuona kuwa wewe ni jembe haswa. lakini cha kinachotusikitisha ni kuwa unatumia cheo chako vibaya. unatumia cheo hicho kuwarubuni watu walio chini yako.-ili kujinufahisha mwenyewe. unatumia cheo hicho kuwarubuni walimu wenye umri mdogo, kwa wadau wa Elimu tunasema ni UFATAKI. Acha tabia hiyo ya kutembea na watumishi wako watashindwa kiufanya kazi iliyowaleta Jina tunalo siyo vizuri. Tunaomba ufanye kazi iliyokuleta hasa ya kuinua Elimu kwa sisi watu wa kusini.Mwalimu Nyerere alisema Kiongozi anayetumia madaraka yake vibaya huo ni ufisdi. Kwako tunasema ni ufisadi wa mapenzi na unahujumu elimu. tunakupenda sana