Afghanistan: Hamad Karzai Declared President

ii. Taliban walipoondoka Russia walitawala nchi hiyo ikatulia kukawa of course na war lord wachache ambao hawakuwa issue sana..mpaka walipovamia America ambao pamoja na mambo mengine wamerakani wana walipa Wauza unga,(karzai etc)and War lords wauue raia na watoto (just kudestabilize taliban) nani shetani hapo..lol America call spade a spade

Tumain hizi facts zako unazitoaga wapi wakati mwingine? Majeshi ya Soviet yameondoka Afghanistan February 15th 1989, Taliban wameingia madarakani 1996. Kaikati hapo Najibullah alitawala kwa miaka mitatu mpaka alipolazimishwa kuachia ngazi mwaka 1992.
 
Back
Top Bottom