Afanye Nini?

Imbanda

New Member
Sep 27, 2007
1
0
Dada mmoja alikuwa na mchumba wake wa muda mrefu....aliamua kuweka mambo yao down-low...nobody has to know.....ikatokea siku moja yeye na rafiki yake wa kike wakapewa lift kurudi mitaa ya kwao....yule rafiki inaelekea kwa makusudi akasahau funguo za chumbani kwake kwenye gari la mchumba wa rafiki yake.....na jamaa aligundua hili akiwa nyumbani kwake baada ya kuwashusha mabinti hawa ambao wanakaa karibu.....akampigia mchumba wake aje kuchukua funguo na akaambiwa sio zangu zitakuwa za fulani...na mimi nikiingia nyumbani muda huu siruhusiwi kutoka.....ngoja nimpe namba yako akupigie ili umuelekeze aje kuchukua...jamaa akatoka home akaenda baa ya karibu kumsubiri yule mdada baada ya kuwasiliana.....akaja akapewa funguo akaondoa.....toka siku ya pili yake jamaa anatongozwa kimtindo na shemeji yake huyu......jamaa hana raha kwani anajua akimwambia mchumba wake hana hakika matokeo yatakuwa vipi......anaomba ushauri
 
Hata hodi hakuna
Umejisajiri 2007 una post mojatu rafiki ..hebu sema kweli Imbanda wewe ndo unasumbuliwa na shemeji yako. pole sana mwambie ukweli aachane na wewe uko commited tayari na akiendelea kukufatilia utamwambia rafiki yake
kwani penzi linalazimishwa?
 
Akimbie kama Yusufu..ati bado yuawaza!?? hawezi kuwa hajalewa...
 
kama vp vp tu, kimya kimya bila kelele, inakuwa party ya kimya kimya.................... wazee wa inf............... watakujibu vizuti zaidi
 
huna haja ya kuficha ukweli,maana kila kinachofanywa gizani kuna siku kitakuwa wazi,ningekuwa mm ningemwambia mapema mchumba wangu na kumuonyesha evidence zote kabla mambo hayajawa makubwa maana kuna mawili,either hao mashosti wanamchezea trik,au anavyozidi kukaa kimya huyo shemeji atageuza ukweli na kusema jamaa kicheche,so do the do before the do does you.
 
huyo kaka anashindwa nini kumpiga stop kubwa huyo mdada? ampe ukweli wake tu.
 
mnh ukiona mtu anauliza mambo marahisi kama haya,ujue kashategeka anatafuta kuhalalisha infidelity tuu...otherwise ungeshamkataza siku nyiingi huyo dada anayekutongoza kimtindo..
 
ndo maana mie nina marafiki kibao lkn no BFF yaani mashoga hawaaminiki!kama huyu hadi hasira!
huyo kaka kinamshinda nini kuwa serious na kumwambia huyo dada kuwa hapendi anavyofanya,au anafurahia hako kamchezo,akizubaa atakosa mchumba na huyo kichehce hatadumu naye pia.
Hata hivyo usikute mchumba wake wamepanga na shoga yake wampime,hivyo asifurahie na kujiona hendisamu bure!
 
Hata hodi hakuna
Umejisajiri 2007 una post mojatu rafiki ..hebu sema kweli Imbanda wewe ndo unasumbuliwa na shemeji yako. pole sana mwambie ukweli aachane na wewe uko commited tayari na akiendelea kukufatilia utamwambia rafiki yake
kwani penzi linalazimishwa?
Kwa miaka mitatu anachungulia tu bila kuchangia hata chochote.....! Halafu anaanza kuomba msaada wakati amebaki mchoyo kwa muda wote huu....!
 
lmbanda naona umeingia na ID mpya!

Story inaonyesha anayesumbuliwa ni wewe!

Ukiwa kweny "uchumba" ni muda muafaka wa "kufanya majaribio" - Mwanamke akikutongoza "hit-and-run"! Wewe bado unachumbia and still unaogopa kutenda dhambi?
 
eeeeeeeeh Baba E!hapa question tag ilinishinda"is intit you?'
lmbanda naona umeingia na ID mpya!

Story inaonyesha anayesumbuliwa ni wewe!

Ukiwa kweny "uchumba" ni muda muafaka wa "kufanya majaribio" - Mwanamke akikutongoza "hit-and-run"! Wewe bado unachumbia and still unaogopa kutenda dhambi?
 
lmbanda naona umeingia na ID mpya!

Story inaonyesha anayesumbuliwa ni wewe!

Ukiwa kweny "uchumba" ni muda muafaka wa "kufanya majaribio" - Mwanamke akikutongoza "hit-and-run"! Wewe bado unachumbia and still unaogopa kutenda dhambi?

Hii comment umeitoa wewe au sioni vizuri?????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom