Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Afanye yale yasiyompa wasiwasi huyo demu wake.
Mfano, kutokuwa na mazoea na wasichana wengine., awe huru na simu yake asiwe anaificha ficha au kwenda kuongelea bafuni, kama ni mtu wa mitoko ajitahidi awe anatoka na mpenzi wake maana wengi huwa wanatoka na rafiki zao wa jinsia moja,
marafiki, ndugu na wafanyakazi wenzie wamjue huyo mchumba.
Asiwe anampa majibu ya mkato pindi mdada anapohisi jambo.
Majibu ya mkato huleta hofu zaidi.