Afanye nini dada huyu?

naona ungemwita upate maoni yake kwanza kisha ungepata pa kuanzia,nipo tayari kumsaidia hela za kumsaidia kidogo,baada ya kupata dira yake ikoje
 
Nilikuwa na msichana
wa kazi niliyeishi naye kwa miaka 5. Kwa bahati mbaya hana wazazi wala
ndugu anayeweza kumsaidia au kumtegemea kwa lolote. Mwaka jana alipata
mimba na nilipomhoji kijana aliyempa mimba alikubali na kuamua
kumchukuwa na kuishi naye kwa tabu kwani Bwana hana kazi, ni mtu wa day
waka tu.

Jana msichana ananipigia simu na kunieleza kuwa Bwana wake amejiunga na
Kikundi cha Uamsho na ametoa amri inayomtaka Mdada kubadili dini
(alikuwa Mksristo) mara moja la sivyo aondoke na mtoto wake wa miezi
miwili. Mdada hana pa kwenda na hayuko tayari kubadili dini.
Nishaurini nimwambie afanye nini?

Aisee mwambie aondoke dadangu chin jua hamnaga mapenzi ya hivyo, si lazima kuolewa.
 
nadhani kuna haja ya kwenda jukwaa la sheria kwani msichana kubadili dini kwa lazima ni humiliation na maswala ya kuondoka na mtoto wake, a father is responsible for evry needs za mtoto, so baba achague either abaki na mtoto mama asepe or waendelee kuishi kama kawaida
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom