Afanya mapenzi na nguruwe

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
 
Ufyetele!!!!! hahaha nalikumbuka sana hili neno nililiskia toka kwenye redio hio hio kuuliza wenyeji wangu ndio nikaambiwa maana yake ni Umbea, so hii redio imekaa kiumbea umbea flani hivi
 
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?

Sidhani kama alikuwa akifanya mapenzi na Nguruwe! labda alikuwa akimlazimisha Nguruwe kufanya nae mapenzi.
 
Hilo dubwana linavyonuka mtu uinashawishikaje kulidandia?
Majitu mengine bwana ndo mana magonjwqa ya hovyohovyo hayaishi kwakweli

kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?
 
Kukosa ubinadamu, wadada mbona wapo wengi siku hizi, tena wala huchukui gharama kuimbisha nyimbo. may be kaongopewa na kalumanzila.:angry:
 
Mh! Mi najua mapenzi lazima kuwe na makubaliano. Mods badilisheni title muweke ambaka nguruwe!
 
si mnasemaga huyo mdudu ni mtamu jamaa ameenda mbele zaidi kwenye utamu mwingine
 
Back
Top Bottom