Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Sele,O-Ten na Stamina wawapiga bao wana kigoma!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Oct 8, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,856
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Wameachia wimbo mkali unaitwa Morogoro,hii imetokana na wimbo walioutoa wana kigoma na wao wakaamua kuwapiga bao!! Big up Morogoro allstars!
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 30,212
  Likes Received: 3,617
  Trophy Points: 280
  Kikwete katuletea Udini sasa Zitto Kabwe naye ameamuwa kuasisi ukabila!! haya tuendelee tu.
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,657
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  haswaa pale aliposema wana kigoma msiwe wanyonge mnaweza kutoa RAIS(akimaansha yy)
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 30,028
  Likes Received: 4,311
  Trophy Points: 280
  wakwere nyimbo nayo lini?
   
 5. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,667
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wahaya tunatoa singo yetu mda si mrefu.kaeni mkao wa kula
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,856
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Wakwere ni watu wa mdaula,chalinze,msata,kiwengwa,msoga.....watawakilishwa na Jumanne Idd(Former BSS,Tax Driver)
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,650
  Likes Received: 960
  Trophy Points: 280
  The way I see it ukabila unanukia
   
 8. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,634
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wamara tunaandaa Songi letu, kiitikio ataimba Isha Mashauzi.
  Chezea Mara weye!
   
 9. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Dah! Wazee wa kungecha na Isha Mashauzi, hilo kolabo sio la kitoto! Unamkuta chacha ana panga na kidole juu!!! He he heeeeee!
   
 10. G

  Ginner JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,039
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  wakati myie mkiongelea ukabila na udini kuzidi kuwatafuna, wachaga wao wanawaza pesa na biashara mpya. hakunaga akina saida kaloli uchagani wala wanaofokafoka ila kunawafugaji na nguli wa biashara..go go chaga pipo
   
 11. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 3,864
  Likes Received: 1,082
  Trophy Points: 280
  Temba, akina joh makina, gnacko, lordeyes, akina chindo akina machalii, wao kabila gani ebu tuambie
   
 12. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 968
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hivi hamna hata mmoja wa taarabu aithee baba angu! tatizo mchaga hana mda wa kugombania mabwana. wote wapo njia panda ya HIMO.
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Na slaa naye kahamishia shughuli za kanisa chadema
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 30,212
  Likes Received: 3,617
  Trophy Points: 280
  Sina muda wa kurumbana na mvaa vipedo a.k.a Wahabi. subilini matokeo ya form four muandamane maana mwaka huu ndio mtafeli kweli kweli.
   
 15. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,246
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  na nyinyi wachaga mbona mnatamba kwenye matangazo! tuacheni wana kigoma tutambe kwenye muziki!
   
 16. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,246
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  usipaniki mzee kwani kwa padri kuhamasisha shughuli za kanisa kuna kosa gani? hiyo ndio kazi aliyoisomea huko kwingine anasuasua tuu
   
 17. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,723
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kazi ipo kwenye ukabila na udini ...ila mwisho wa siku wataumbuka wanaozani kugawa watu ni mtaji wao kisiasa.
   
Loading...