Afande Sele afanya Bonge la party la kumpongeza 20%

mna uhakika gani kama wanavuta bangi, wekeni ushahidi, au mnavuta nao? hii labda ni staili yao ya maisha, acheni kuwasakama.
 
Lakini kinachoonekana pichani ni chupa za pombe na si vipisi vya bangi. inashaangaza kulaumu bangi peke yake na si pombe.
pombe bwana...........

Ivumayo daima haidumu. Hata kama wanasema afande kachoka, walitaka awe namba moja daima? Je kina 20 per tungewajulia wapi? Kumbukeni kuwa kufika namba moja sio kazi, kazi ni kuendelea kubaki kileleni.
 
20% Kwajinsi mdomo wake ulivyokaa na kamoshi kanakotoka, hapo ni anaskilizia stimu ya msuba-bangi-bange-wida-jani-ndumu-mneli-blanti-ganja-jicho la tatu-kaya-kijiti
 
Bigup kwa 20% jamaa ameandika vya kutosha hata kama bangi we mwenye akili umeiambia nn jamii?we ni profesa unashughulika na mambo ya maginjwa'mwingine mwanamazingira,mwingine auditor wa serikali kwa hyo tumegawanyika 20% anaimba mziki na kuvuta bangi naifundisha jamii''wewe unakunywa bia afu j3 unaenda ofisini so mpeni big uo sana huyu mchizi''n
 
sikilizeni hawa ni wasanii wazuri ila ukiwaangalia muonekano wao huwezi kusita kuwaita wavuta bangi na ni kweli wanavuta sana na ndo chazo cha uswahiba wao sasa bora afande yeye ana nyumba 20% hana hata nyumba sasa cjui itakuwaje make umri nao unakwnda.KUWA SIMPLE HAIMAANISHI UWE MCHAFU KAMA WALIVYO AFANDE NA 20% NI AIBU
 
Ayoo.majungu sasa
 
Duhh, Afandee Selee katinga fasheni baabkubwa na hizo ndala zake!!
combinenga4.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom