Afande Sele, 20% wakamatwa

Bangi! bangi! Bangi imesebabisha mimi nisote...itakua walipiga kitu cha Arusha...lakini nawaheshim sana kwa mistari yao yenye maujumbe
 
20 paa si wangempeleka kwanza hospital mbona kama uso umevimba?
 
Walipigana na raia hadi polisi ndo wamembamiza jicho hlo hapo walipo wanahengover ucpime.
 
Namboa mahakama itusaidie kwa kuwafunga hawa mabwana labda wakitoka huko jela akili zao zitakuwa zimetulia kidogo
 
Afande Sele na msani mwenzake 20p% wamekamatwa jana na polisi mkoani morogoro jana na kufikishwa mahakamani leo kwa kosa la kufanya fujo na kuharibu mali.

BANGE BANGE BANGE ZITASABABISHA HAWA WAFUNGWE...BANGE BANGE BANGEEEEEEE....

Wahuni hawa wanamuziki wetu wa sasa wanaamini kufanya vurugu; mibange; ulevi kupitiliza na kuwa na kesi za kipuuzi kila siku ndiyo mtaji wa UMAARUFU!!!! BAMBAFU KABISA!!!!!!
 
We chezea bluetooth na Viroba vya konyagi wewe, kweli waende jela kidogo maana wamezidi hwa washkaji.
 
Sasa 20% anajiharibia, alishaanza kukubalika kwenye jamii kwa mistari, yake sasa mibangi itamkosesha mengi. Masikini akipata ****** hulia mbwataaa!!!:nono:
 
...nadhani ile mistari wanayotoa ya ukweli ni kwa msaada wa bangi...
 
Nimeirekebisha hii picha ili ikae vizuri muweze kuwaona vioo vya jamii vizuri!

Sele na 20.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom