Afande Samweli yuko wapi?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Hivi huyu member yuko wapi? Mbona kimya sana au ilikuwa nguvu ya siasa za Kyela tu? Au kabadili ID? Afande come back ndiyo mambo yanaanza sasa na michango yako bado inahitajika hapa, utuletee updates za Kyela.
 
Haha haha Bado anakusanya Laptops walizowagawia wana Kyela baadaye wakatoswa
 
Afande Samweli lilikuwa jina la kampeni tu kama kigwanagala jina lake halisi ni.................................ngoja kwanza nikusanye waandishi wa habari.
 
Afande Samweli lilikuwa jina la kampeni tu kama kigwanagala jina lake halisi ni.................................ngoja kwanza nikusanye waandishi wa habari.

Kigwangwalla ni Kigwangwalla wa kweli kabisa, na bahati njema ameshinda!...huh!@
 
Hawezi kuja hapa;huwa anaonekana sana siku hizi nyakati za usiku pale Balingeng'onyo resort akipata moja baridi-moja moto,na nahisi kajiondoa kwenye mamabo ya siasa hasa baada ya habari hizi kuzagaa Kyela kuwa vyama vya upinzani vinafikiria visisimamishe wagombea wao ktk majimbo ya Kyela na Rungwe ya Mwandosya!

Amekisusa hata kijiwe chetu cha Bondeni kwa Keny Mwanyerere,pia hata kule Bikutuka sijamuona siku nyingi pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom