Afande mwema:polisi wa changombe wanakodisha silaha usiku

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Hii ni kwa taarifa tu
Ndugu zanguni ukiona mwenzako ananyolewa tia maji
askari wa kituo cha polisi changombe wamekuwa wakishirrki
zoezi la kukodisha silaaha kwa majambazi na wengine hushirki
kabisa wakihakikishiwa usalama wao na masterling wa shuguli
kimara korgwe kuna askari majuzi tu aliwaacha watu hoi mida ya sa kuminambili asbh;pale alipokuja sehemu ya vinywaji yuko hoi chakali
baada ya muda uwezi ukaamini akaj mwenzake akiwa na silaha na kuuliza
silaha ikwapi akadai samson anamletea;wakiwa mazungumzo mwenzake
akahisi kuna mtu anaewafahamu akamnongoneza muda wa kurudisha silaha
akamwambia awezi kwenda mpaka aletewe silaaha yake;nilijaribu kuchungulia
nama zao za kitapeli akuwa ameeninginiza,...hatari zana baada ya muda ikaja
mark 2 ikiwa na mtu kavaa kiraia akamletea silaha na mfuko wa bahasha kubwa aikjulikaana maana jamaa awakukaa hata dk 10,
hatari sana kuona watu tunaowaamini na kuwpa dhamana usiku wakitutenda hivi kwa kuwapa watu sialaha wakiwa lindoni
 
He he he he.... hii sasa hatari, wanausalama ndo washiriki wa genge la majambazi. Tumekwisha...
 
hilo dogo
kaama ushasikia kisa cha daraja la kawe watu kuibiwa magari
kupoknywa vitu live.....uliza nani ?
Mungu autusaidie tuendako
 
tuamke.......tunaweza kuwadhibiti hawa askari wenye tabia chafu kwa kuiga alichofanya Jerry muro. Kama unasimu yenye kamera jaribu kuitumia kiujanja pale unapoona askari akitia shaka.
 
Hii ni kwa taarifa tu
Ndugu zanguni ukiona mwenzako ananyolewa tia maji
askari wa kituo cha polisi changombe wamekuwa wakishirrki
zoezi la kukodisha silaaha kwa majambazi na wengine hushirki
kabisa wakihakikishiwa usalama wao na masterling wa shuguli
kimara korgwe kuna askari majuzi tu aliwaacha watu hoi mida ya sa kuminambili asbh;pale alipokuja sehemu ya vinywaji yuko hoi chakali
baada ya muda uwezi ukaamini akaj mwenzake akiwa na silaha na kuuliza
silaha ikwapi akadai samson anamletea;wakiwa mazungumzo mwenzake
akahisi kuna mtu anaewafahamu akamnongoneza muda wa kurudisha silaha
akamwambia awezi kwenda mpaka aletewe silaaha yake;nilijaribu kuchungulia
nama zao za kitapeli akuwa ameeninginiza,...hatari zana baada ya muda ikaja
mark 2 ikiwa na mtu kavaa kiraia akamletea silaha na mfuko wa bahasha kubwa aikjulikaana maana jamaa awakukaa hata dk 10,
hatari sana kuona watu tunaowaamini na kuwpa dhamana usiku wakitutenda hivi kwa kuwapa watu sialaha wakiwa lindoni
IGP Kaaaz kweli kweli huku traffic wanyakua rushwa, ukerewe askari majambaz, temeke wanakodisha silaha.
Ushauri usione aibu hawa jamaa wakawa exposed maana mnatabia ya kujaribu kufunika mambo kuficha aibu. Dawa chukuwa hatua [kujenga imani kwa wananchi] na sisi tutakwambia ni nani hao.
MFICHA u?>":)*&^ HAZAI
 
MKuu Mwanahalsi:

Naomba ufafanuzi kidogo - Polisi unayemzungumzia alikuwa wa Kituo cha Polisi Chang'ombe anakuja Kuchukua silaha Kimara Korogwe?

Nauliza maana ni vigumu kumtambua Police wa Chang'ombe kama wewe unaishi Kimara (and vice versa). Halafu umesema kuwa haukuweza kutambua "FORCE NUMBER" zao!
 
jamani hapa bongo tuishi tu kumalizia siku zilizobaki suala la askari kuhusika na uuzaji wa silaha ni la siku nyingi na cha kushangaza zaidi hata hao mnaowapelekea malalamiko nao ni miongoni mwa wanaobariki shughuli hizo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom