Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,138
Ndugu watanzania si jambo la kushangaza =lakini linaitaji kustaajabisha
hivi majuzi kuna vijana kadhaa wamekamatwa kutokana na wizi wa magari ya aina ya prado kutoka dar kwenda moshi
wakiwa katika zoezi la kupeleka magari moshi kijana wa kwanaza alifanikiwa kufikisha kwa amani ,ndipo alipofata mwanafunzi wa IFM
ambae nae kama mwenzake walifanikiwa kufikisha fari la pili
wakati wakijiandaa na gari la tatu ambalo liliendeshwa na mwanafunzi wa chu kikuu mlimani ambao ni ndugu mmoja na yule wa chuo cha ifm akaanza nae safari kuondoka kwenda moshi ,,akiwa anajiaanda aijulikani ama wengine wanasema gari lile lilikuwa na uwezo wa kuonyesha mahali ilipo gari husika ,,ama walitonywa....
ndipo walipo anza safari na mh wa prado ya tatu wakiongozana na magari kama 3 walipokaribia njiapanda segerea mmoja akawahi kulipita na kuingia kulia kama wanaelekea tanga,,mwingine akalitangalia na kuelekea njia ya kwendaq korogwe ,mwingine akabaki nyuma
alipofika mh akaelekea njia ya kwenda moshi ndipo yule elieenda njia ya tanga akabadili muelekeo wakaungana na wenzake mpaka moshi..walipofika wakajipumzisha pale PAN AFRICAN
na wah wakatulia nao kwa ustaarabu ..na kuanza kuwahoji baadhi ya watu mnawajua ,,mmoja akwaonyesha kwaao na kwazazi wao.
wakawakamata wote na kwenda kwa wazazi wakawakamata wote...yule mzazi ana rafiki anaitwa summit auakamwomba amsadie kwa hili akamtoa kwa dhamana...ndipo walipofunga safari kwa mh KOVA hivi majuzi...mh kova gafula akashauri waletwe dar.
walipofika wakaakaa siku tatu wakatolewa mdhamana na huku wakitanua hakuna wa wakuwafunga plisi wote wako mikononi mwao
mmmmmm minakutakia heri kova na mbizo zako za unafiki

Last edited by a moderator: