Afadhali changudoa

The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

Gaijin (Today)

Inaelekea leo nimeamka vizuri. Kupata senksi za malijendi kama hawa inahitaji uwe umetulia. Leo ntakunywa valuu kwa afya ya Gaijin!
 
Tatizo mnachukua vi sista duu mnavyoviona kwenye ma Club, mtaani mahoteli, vyuoni nk, hao wapo ki biashara zaidi
 
The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post:

Masanilo (Today)

Ngoja niihifadhi kwa hapa manake wewe huchelewagi kuzirimuvu hizi kitu adimu na tamu.
 
Mademu wengi wa bongo awe wa Masaki, Mikocheni, Sinza au Buguruni ndio zao it is just the matter of time when ataanza na hivi vitabia vinavyokera kama alivyooanisha Ngoshwe
 
Daaah pole sana mpendwa ..ukiona dalili hizo jua huyo sio muolewaji, mkaaji, au mwenye nia ya kuwa na wewe katika mahusiano ya muda mrefu...Mwanamke mwenye hekima ,upendo na busara hawezi kufanya mambo hayo hata siku moja ..angalia usitaarabu mwingine.
 
unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.

Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
  1. baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba umnunulie simu. Simu aliyokuwa nayo anaifunga kwa "mipira kama ile ya kufungia hela" betrii inachomoka kila wakati, haina network, ya rangi ya siliver lakini imefuba balaa!,. Unaona ni muhimu kumnunulia simu lakini anasema umpe tu hiyo hela ataongezea apate nzuri zaidi, lakini unapokutana nae kesho yake una unaona aina ya simu aliyonunua haina hadhi ya thamani ya pesa uliyompa.
  2. pengine anakutumia sms kukuomba umtumie vocha ili mpate pia kuwasiliana
  3. ukiwa una uhakika kabisa kuwa vocha ya dola 10, lakini wewe hakupigii kamwe, ataishia "kukubip". Ukiuliza "why"...anajibu eti iliishia kumpigia mama yake!.
  4. anafanya kazi, lakini kila mkikutana akitana kuongeza na mtu anataka kutumia simu yako tu ya kwake anasema haina credit.
  5. ukimwitaji aje kwako angalau kwa "tendo" anakuja kwa taxi, unalipa, mtakula, kumnywa, ila ukimgusa tu anakuambia "nipo katika siku zangu au sijisikii vizuri"..
  6. atataka mtoke kwenda kwenye starehe (club), ataomba hela ya kwenda saloon,ataomba ya taxi nk..
  7. ukiwa club utalipa kiiingilio, vinywaji na kila zaga zaga mpaka siku iishe. Ukisema huna kitu atanuna na kuona unambania tu. Furaha itaishia hapo, mtakorofishana na ataondoka pasipo hata kuaga.
  8. siku ambayo wewe upo "bize" yeye kwake anaona unamkimbia, ukimpigia simu hapike, au pengine kakuzimia kabisa.... Ukisema uende kwake hayupo, unaambiwa katoka na wenzake.
  9. siku akikuomba umsindikize sehemu akanunue kitu, atachagua na kuelekeza wewe ndio ulipe....
  10. ikiwa yakaribia sikukuu, anataka mwende "shopping",ukimchagulia kile ambacho wewe unaona atapendeza, anakumbia yeye hawezi kuvaa hilo "lapu lapu" atachukua ile ambayo kuilipia huwezi kutoka bila maumivu...ukikataa, kesho yake utaona kaivaa hiyo hiyo hujui alinunua saa ngapi!.
  11. pengine atakuja na simulizi za shida kibao za kwao, utamwonea huruma umsaidie..lakini ukimweleza leo huna kitu kwa kuwa umetuma kiasi kwa mzazi wako unaona sura yake inabadilia, hanakuwa hana furaha kabisa....
pengine unaona ni heri ya kutafuta changudoa tu, una malizana nae hata kama ni gharama kubwa inaeleweka yupo kibiashara na utakuwa mwangalifu zaidi kuliko sehemu unayojiamini kuwa kuna penzi na inafika wakati ukajikuta unajeruhiwa wewe tuuu na kuumizwa moyo!.

vere vere profeshionale dan!!!! Congrats... U r experienced
 
Unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.

Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
  1. baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba umnunulie simu. simu aliyokuwa nayo anaifunga kwa "mipira kama ile ya kufungia hela" betrii inachomoka kila wakati, haina network, ya rangi ya siliver lakini imefuba balaa!,. Unaona ni muhimu kumnunulia simu lakini anasema umpe tu hiyo hela ataongezea apate nzuri zaidi, Lakini unapokutana nae kesho yake una unaona aina ya simu aliyonunua haina hadhi ya thamani ya pesa uliyompa.
  2. Pengine anakutumia sms kukuomba umtumie vocha ili mpate pia kuwasiliana
  3. ukiwa una uhakika kabisa kuwa vocha ya dola 10, lakini wewe hakupigii kamwe, ataishia "kukubip". Ukiuliza "why"...anajibu eti iliishia kumpigia mama yake!.
  4. Anafanya kazi, lakini kila mkikutana akitana kuongeza na mtu anataka kutumia simu yako tu ya kwake anasema haina credit.
  5. ukimwitaji aje kwako angalau kwa "tendo" anakuja kwa taxi, unalipa, mtakula, kumnywa, ila ukimgusa tu anakuambia "nipo katika siku zangu au sijisikii vizuri"..
  6. atataka mtoke kwenda kwenye starehe (club), ataomba hela ya kwenda saloon,ataomba ya taxi nk..
  7. Ukiwa club utalipa kiiingilio, vinywaji na kila zaga zaga mpaka siku iishe. Ukisema huna kitu atanuna na kuona unambania tu. Furaha itaishia hapo, mtakorofishana na ataondoka pasipo hata kuaga.
  8. Siku ambayo wewe upo "bize" yeye kwake anaona unamkimbia, ukimpigia simu hapike, au pengine kakuzimia kabisa.... Ukisema uende kwake hayupo, unaambiwa katoka na wenzake.
  9. Siku akikuomba umsindikize sehemu akanunue kitu, atachagua na kuelekeza wewe ndio ulipe....
  10. Ikiwa yakaribia sikukuu, anataka mwende "shopping",ukimchagulia kile ambacho wewe unaona atapendeza, anakumbia yeye hawezi kuvaa hilo "lapu lapu" atachukua ile ambayo kuilipia huwezi kutoka bila maumivu...ukikataa, kesho yake utaona kaivaa hiyo hiyo hujui alinunua saa ngapi!.
  11. Pengine atakuja na simulizi za shida kibao za kwao, utamwonea huruma umsaidie..lakini ukimweleza leo huna kitu kwa kuwa umetuma kiasi kwa mzazi wako unaona sura yake inabadilia, hanakuwa hana furaha kabisa....
Pengine unaona ni heri ya kutafuta changudoa tu, una malizana nae hata kama ni gharama kubwa inaeleweka yupo kibiashara na utakuwa mwangalifu zaidi kuliko sehemu unayojiamini kuwa kuna penzi na inafika wakati ukajikuta unajeruhiwa wewe tuuu na kuumizwa moyo!.

Ya nini yote haya, ndo maana mimi niliyakimbia haya na kuamua kuoa!
 
Ngoswe,
Samahani kama sijakuelewa vizuri,unamaanisha AFADHALI YA CHANGUDOA KULIKO CHANGUDOA AU?
S
 
Nikiwashauri vijana wajiunge kwenye chama changu cha kustarehe na mabaamedi wala hata hawanielewagi.

Acha wachunwe, si wanajitakia wenyewe?

Hivi mabaamedi sio machangudoa!!!!!!!!!
 
du mambo haya jamani................'"TO LOVE AND 2B LOVED IS THE GREATEST HAPPINESS IN EXISTENCE"'
 
Mademu wengi wa bongo awe wa Masaki, Mikocheni, Sinza au Buguruni ndio zao it is just the matter of time when ataanza na hivi vitabia vinavyokera kama alivyooanisha Ngoshwe

Nikweli kuna baadhi ya wanawake wanatabia ya kuchuna wanaume kama huyo dada ila wengi wao ukitaka mchezo hawabanii kabisa anakupa mpaka ukitaka visivyohalalishwa sasa huyo mdada kazidi.............pia kuna mijanaume michache ina tabia mbaya ya kupenda kutegemea mademu zao nayo pia inakera.........
 
Kuna dadapoa wengine wastaarabu zaidi ya huyu uliemwongelea hapa ambaye dalili zote za kichangu anazo,nikiwa chuo kuna dada mmoja tulifahamiana alikuwa anajiuza kwenye hoteli za kitalii akanipigia simu mbona sionekani? nikamwambia nipo kitandani naumwa malaria akaja na taxi akanichukua na kunipeleka kwake nikawa naogeshwa,nalishwa kwa siku 3 mpaka nilipo pona na kurudi chuo.Sasa hivi ni mke wa kigogo serikalini katulia utadhani sio yeye.
 
unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.
Senkyu

siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
  1. baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba umnunulie simu. Simu aliyokuwa nayo anaifunga kwa "mipira kama ile ya kufungia hela" betrii inachomoka kila wakati, haina network, ya rangi ya siliver lakini imefuba balaa!,. Unaona ni muhimu kumnunulia simu lakini anasema umpe tu hiyo hela ataongezea apate nzuri zaidi, lakini unapokutana nae kesho yake una unaona aina ya simu aliyonunua haina hadhi ya thamani ya pesa uliyompa.
  2. pengine anakutumia sms kukuomba umtumie vocha ili mpate pia kuwasiliana
  3. ukiwa una uhakika kabisa kuwa vocha ya dola 10, lakini wewe hakupigii kamwe, ataishia "kukubip". Ukiuliza "why"...anajibu eti iliishia kumpigia mama yake!.
  4. anafanya kazi, lakini kila mkikutana akitana kuongeza na mtu anataka kutumia simu yako tu ya kwake anasema haina credit.
  5. ukimwitaji aje kwako angalau kwa "tendo" anakuja kwa taxi, unalipa, mtakula, kumnywa, ila ukimgusa tu anakuambia "nipo katika siku zangu au sijisikii vizuri"..
  6. atataka mtoke kwenda kwenye starehe (club), ataomba hela ya kwenda saloon,ataomba ya taxi nk..
  7. ukiwa club utalipa kiiingilio, vinywaji na kila zaga zaga mpaka siku iishe. Ukisema huna kitu atanuna na kuona unambania tu. Furaha itaishia hapo, mtakorofishana na ataondoka pasipo hata kuaga.
  8. siku ambayo wewe upo "bize" yeye kwake anaona unamkimbia, ukimpigia simu hapike, au pengine kakuzimia kabisa.... Ukisema uende kwake hayupo, unaambiwa katoka na wenzake.
  9. siku akikuomba umsindikize sehemu akanunue kitu, atachagua na kuelekeza wewe ndio ulipe....
  10. ikiwa yakaribia sikukuu, anataka mwende "shopping",ukimchagulia kile ambacho wewe unaona atapendeza, anakumbia yeye hawezi kuvaa hilo "lapu lapu" atachukua ile ambayo kuilipia huwezi kutoka bila maumivu...ukikataa, kesho yake utaona kaivaa hiyo hiyo hujui alinunua saa ngapi!.
  11. pengine atakuja na simulizi za shida kibao za kwao, utamwonea huruma umsaidie..lakini ukimweleza leo huna kitu kwa kuwa umetuma kiasi kwa mzazi wako unaona sura yake inabadilia, hanakuwa hana furaha kabisa....
pengine unaona ni heri ya kutafuta changudoa tu, una malizana nae hata kama ni gharama kubwa inaeleweka yupo kibiashara na utakuwa mwangalifu zaidi kuliko sehemu unayojiamini kuwa kuna penzi na inafika wakati ukajikuta unajeruhiwa wewe tuuu na kuumizwa moyo!.
senkyu
 
I was doing the same,especial kwa wale wanaume ving'ang'anizi, anakusumbua mpaka unakarahika,anakuja na mbwembwe za kwamba yeye ni mtoto wa rostam aziz,sasa unafikiri matokeo yake ni nini? lazima uchunwe mpaka utie akili,mpaka ukija amka kutoka usingizini na kujua hapa sitakiwi nakuwa nimemaliza nusu au robo tatu ya saving yako.
thanks GOD nimempata aliye kumoyo now,sithubutu kumuomba hata hela ya kununua maji ya uhai
 
Haya ndiyo matoke ya kutongoza kwa kujisifia ili ukubaliwe kiurahisi! Sasa ndo wakati wa kutimiza hizo ahadi ulizotoa... Siku nyingine ukiwa untongoza unatakiwa kuwa muwaz na mkweli ili kuepuka kuwawezesha hao warembo kuvuna wasichopanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom