Advocate Maira is no more!

Wafiwa wote poleni sana, Tanzania imeondokewa na mwanasheria mahiri sana. Tutammis sana....Kombe pia pole yake.. Rest in peace Advocate Mosses Mahira
 
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Advocate Maira peponi. Alikuwa ni wakili wa msaada kwa wengi na makini sana. Akisimamia kesi ya mteja anajitahidi kupigana na vifungu vya sheria na akili ya hali ya juu kuhakikisha unapata haki yako. Kinachonifurahisha zaidi ni pale mwaka 1998/99 alikubali kusimamia kesi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam bila kulipwa chochote. Kitila Mkumbo wakati huo alikuwa ndiye president wa DARUSO. Pia amesaidia sana ndugu zake kuwasomesha vizuri na watoto wake (japo ni wengi kwa number).

Ni vema wakati huu tuandike wasifu wake mzuri tu. Kama kuna member ana kasoro zake basi azi reserve maana wakati huu ni wa simanzi. Na pia haipendezi mtu akisha kufa unaanza kumtuhumu. Kama alikuwa na kashfa zozote zile tungezileta hapa JF wakati akiwa hai kama ambavyo tumefanya kwa celebrities wengine kama say Magai na wengine wengi. Maira is dead now. So let us close his chapter na tuige tu yale mema aliyotuachia.

God bless you all, God bless our JF, a sensible forum for sensible and respectable members.
 
Pamoja na maendeleo ya kifikra na teknolojia, tunapaswa KUTOSAHAU taboos zetu muhimu, ikiwa ni pamoja na kutowananga marehemu.

...Ila kwa sasa unachokifanya ni sawa na kusema bora amekufa ambapo si hekima hata kidogo. Jaribu kukumbuka UTU wako ktk kipindi hiki kizito kwa familia yake kisha ndo tuanze kuwarushia madongo wakishaanua arobaini ya marehemu.

Ahsante kwa mwongozo, kuhusu miiko yetu inayokataza kunanga marehemu. Lakini nadhani, Msanii, huwezi kuwa na miiko ambayo unai apply kwa Maira haui apply kwa marehemu Chadiel Mgonja. Huwezi kuwa na miiko ambayo unai apply kwa Maira haui apply kwa marehemu Balali.

Posted by Msanii: Kwa hiyo Balali kaamua kufa na wadudu wanakuja hadharani huku wakipangusa midomo wakisema hawajawahi kula....

Huwezi kuwa wewe ndio mwalimu, mkufunzi, wa kunanga marehemu halafu ukakemea wengine wanaofuata mfano wako wa kunanga marehemu. Ningetegemea ukemee wote wanaponangwa, sio na wewe uwe kinara wa kunanga halafu ukemee baadhi wakinangwa.

Wakati tukieleza wasifu wa marehemu Maira, itakumbukwa kwamba moja ya sababu za umaarufu wake magazetini ilitokana na uhasama wa wazi aliokuwa nao na mawakili wenzake, ikiwa ni pamoja na kulumbana wazi ni nani mwenye pesa zaidi kati yake na mwenzie Nimrod Mkono.
 
Second wife Davida alishapumzika kwa amani siku nyingi ndugu!

Heheheheee...I love JF! Maana wakati mwingine watu hujifanya kuwajua sana watu....

Mimi huyu Maira simjui na wala sikuwahi kumsikia hata siku moja...

Sasa Bimkubwa anampa pole mke wa pili na WoS anakuja kusema mke wa pili alishaaga dunia siku nyingi.....oooh well

Ndo maana nasemaga hapa JF sio mahali pa kupatia habari za kweli. Ni kijiweni tu hapa
 
RIP Mpiganaji Mosses Maira.

Waungwana tuwe na Heshima na Staha kwa wenzetu waliotutangulia,haileti maana kumuumbua Marehemu kwa maneno ya kashfa na dharau,ikumbukwe kuwa Watoto,Ndugu na Jamaa wapo kwenye maombolezo.Hakuna Binadamu aliyekamilika,tujaribu kuenzi yale mazuri ya Marehemu na yote mabaya tuyaache.......Mwenyezi Mungu ampe Mapumziko mema maira!
 
Nilikuwa na bahati ya kumfahamu Marehemu na natoa pole kwa ndugu, marafiki na wapenzi wote wa mpiganaji Maira. Mungu katoa na Mungu katwaa, amen.
 
Katika eulogy ya Malcolm X Osie Davis alisema.

Did you ever talk to Brother Malcolm? Did you ever touch him or have him smile at you? Did you ever really listen to him?

If you don't know the man, do not mudsling the man, especially based on some few google results pointing to half baked, good for nothing, fact starved, first account lacking, worse than toilet paper printouts that cannot even be qualified as yellow journalism, for doing that would be belittling yellow journalism.
 
Katika eulogy ya Malcolm X Osie Davis alisema.

If you don't know the man, do not mudsling the man, especially based on some few google results pointing to half baked, good for nothing, fact starved, first account lacking, worse than toilet paper printouts that cannot even be qualified as yellow journalism, for doing that would be belittling yellow journalism.

To whom is this rant intended?
 
What rant?

This one....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom