ashasaidi,u know too much kwenye hili suala not to be mange..haijalishi lakini!nnachokiona hapa ni kuwa kama unatafuta uungwaji mkono nje ya mahakama,najua mahakama haitaangalia ushuhuda wa upande mmoja unaoutoa huku,provided pia hatuwezi mfanya magai akaja weka post yake nae kujitetea,hatuna huo uwezo hapa..so japo tunataka kujua what really happened pale mahali ili tuweze kuwa na mjadala ulioshiba,lakini napata hisia ya kuwa unatumia nguvu nyingi sana kulazimisha kuungwa mkono hapa..kuna mengi ya kufanya bado mahakamani kuthibitisha madai yako dhidi ya magai!nahisi ungejiandaa kwenda kufanya hilo kikamilifu badala ya michezo ya kitoto ya majibizano kwenye bloggs hata za kijinga na zisizo na heshima yeyote(sio JF) kama unavyofanya..sina hakika kama magai akishinda mahakamani na ikathibitika ulidanganya SANA kwenye ushahidi wako ili tu kumdhalilisha hatataka kukuumiza nae kisheria kwa kumfedhehesha na kumshushia heshima kwa kumbambikia kesi(sijui).vinginevyo,dj,bouncer na manager wa hotel wanaweza tu kuwa mashahidi,huhitaji kuwa na degree ya sheria kuelezea kilichotokea pale kempinski ewe binti wa kiislam ambaye bado hujaolewa,ambaye hata hivyo ulizaa ukiwa shuleni bado uliyepigwa kwenye ukumbi wa starehe!
nakutakia mafanikio kunako hiyo kesi yako,wasalaam..
nakutakia mafanikio kunako hiyo kesi yako,wasalaam..